Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

Ndo mana ukawa idawa na mimi nikawa Diva kila mtu akipendacho na akionacho kuwa ni bora. Wewe unamuona domo yuko juu level za Jay z to me it's normal hatuwezi kufanana.
Tena umeshikilia swala la njia za kipuuzi zipi kila msanii na mambo yake ulitaka asiimbe asiombe kura kwa mafans kisa domo alikua anaombaga kura.
Nani kamdaganya Kiba kuwa ni msanii wa kimataifa yeye anafanya mziki wake ajiskiao na hashindani na mtu ndo mana kamwe huwezi kukuta akifanya mashindano ya kijinga na hapaniki hovyo.Kiba atakua yule yule hata muongeeje. Kweli tuzo aliyopata imewachefua sana eeh.
Endeleeni kumusupport mwanamziki wenu wa international mwacheni kiba mwanamziki wa Tanzania tu.
Nimekubali unampenda Kiba, ila kama shabiki wake ni vema umpe mbinu za kukuza kiwango chake.

Sawa mimi ni team Diamond lakini napenda msanii wangu apate changamoto kutoka sehemu mbalimbali.

Mwambieni Kiba atoe nyimbo nzuri, atafute Uongozi wenye maono.

Maana wimbo wake wa hapo kati Sijui unaitwaje ukiachana na mwanaDar,mwambieni autolee video

Kama hana za hela video ya Godfather sauzi mwambieni tumchangie.
 
Last edited by a moderator:
Mashabiki wa Diamond tunaraha sana. Meneja wake Salem kasema wiki hii kuna kitu kikubwa kitatokea tusubir. Haha wengine wanasubiri video ya King mwezi unaenda wa4 tangu ngoma itoke
 
Nafurahi sana kuona jina la KingKiba likiendelea kupata promo za kutosha kutoka kwa washabiki maandazi wa domo.

Sisi #TeamKiba porojo sio maisha yetu, kwetu sisi ni kazi tu, tunaendelea kupiga kura kama mchwa huku tukisubiri tuzo zetu 7 za KTMA, maana katuzo kamoja tu tulikobebea tayari kameshachafua hali ya hewa ya mtaa wa pili kwa jirani zetu sasa sipati picha baada ya hizi 7.

Tushuhudie mtanange wa msanii wa Kimataifa Diamond aliyebeba tuzo za channel O Vs msanii wa kitaifa Kiba, hapo jasho lazima limtoke msanii wa kimataifa hahahhaha.
 
Nimekubali unampenda Kiba, ila kama shabiki wake ni vema umpe mbinu za kukuza kiwango chake.

Sawa mimi ni team Diamond lakini napenda msanii wangu apate changamoto kutoka sehemu mbalimbali.

Mwambieni Kiba atoe nyimbo nzuri, atafute Uongozi wenye maono.

Maana wimbo wake wa hapo kati Sijui unaitwaje ukiachana na mwanaDar hata hakuna hauna nguvu yeyote.

MshMshaurini

Kiba ushauri kapewa na anaufanyia kazi si lazima afanye kama mond anavofanya vitu vyake Mara drama za kudate. Kila msanii na njia zake kwenye mziki. Wewe unauona umeishia Dar lakini uko mbali hadi mikoani una bamba kinoma noma. Mbona hata wimbo wa boss ako ule wa mipasho umesahaulika. Sie twacheketua kwa raha zetu #teamnostress forever.
 
Wewe nawe sijui una matatizo gani kuniandikia uchuro...ebu niache mie yamewashinda kivyenu maulana ana husika nini apa? Unamwita Mungu kwenye umbea aje anichambe au?

Ni mashairi ya wimbo mpya wa ney ft mondi ka vp kausiilize utaelewa nlichoandika usipaniki sana
 
Kiba ushauri kapewa na anaufanyia kazi si lazima afanye kama mond anavofanya vitu vyake Mara drama za kudate. Kila msanii na njia zake kwenye mziki. Wewe unauona umeishia Dar lakini uko mbali hadi mikoani una bamba kinoma noma. Mbona hata wimbo wa boss ako ule wa mipasho umesahaulika. Sie twacheketua kwa raha zetu #teamnostress forever.

"Sio Dar mpaka mikoani inabamba. "
Wakati kwenu mikoani ni mafanikio sisi tunawaza Ki Hollywood zaid.
 
Mashabiki wa Diamond tunaraha sana. Meneja wake Salem kasema wiki hii kuna kitu kikubwa kitatokea tusubir. Haha wengine wanasubiri video ya King mwezi unaenda wa4 tangu ngoma itoke

ahahahaa nakuambia watu wana roho ngumu!!!mie siwezi kubeba kisichobebeka waallah!!
 
Nafurahi sana kuona jina la KingKiba likiendelea kupata promo za kutosha kutoka kwa washabiki maandazi wa domo.

Sisi #TeamKiba porojo sio maisha yetu, kwetu sisi ni kazi tu, tunaendelea kupiga kura kama mchwa huku tukisubiri tuzo zetu 7 za KTMA, maana katuzo kamoja tu tulikobebea tayari kameshachafua hali ya hewa ya mtaa wa pili kwa jirani zetu sasa sipati picha baada ya hizi 7.

Tushuhudie mtanange wa msanii wa Kimataifa Diamond aliyebeba tuzo za channel O Vs msanii wa kitaifa Kiba, hapo jasho lazima limtoke msanii wa kimataifa hahahhaha.

Yaani humu kweli kiba ndo habari ya mjini.... nani asiyemjua wanampigia promo kila kona..
 
Kiba ushauri kapewa na anaufanyia kazi si lazima afanye kama mond anavofanya vitu vyake Mara drama za kudate. Kila msanii na njia zake kwenye mziki. Wewe unauona umeishia Dar lakini uko mbali hadi mikoani una bamba kinoma noma. Mbona hata wimbo wa boss ako ule wa mipasho umesahaulika. Sie twacheketua kwa raha zetu #teamnostress forever.

Hii taarabu ndo ilimpeleka boda na mwanza hapa juzi kati na sa iv ana sho 5 za boda sasa twende kwenye chekecha sasa hata video imeshindikana
 
"Sio Dar mpaka mikoani inabamba. "
Wakati kwenu mikoani ni mafanikio sisi tunawaza Ki Hollywood zaid.

Hahaaaa ni vizuri pia sie ni charity begins at home kwanza nyie endeleeni mfunike duniani kabisa. Acheni kuhangaika na msanii ambaya hajavuka border bado pambaneni na wa nje ya Africa.
 
Hahaaa watafta visingizio hao mtu wao si super star international kwanini wanahangaika na mwanamziki asiye international.

Team ndomo na bosi wao hawana jipya wanachojua ni new id tuu.....
Kiba anawaumiza roho sanaaa jamani lol... na wataolewa mwaka huu
 
Ingekuw kaimba ney mwenyew ningeusikiliza ila kitendo cha kuimba na huyo ndomo kama kibuyu ndo kaharibu kila kitu

Hahaaaaaa tena huyo sijui ndo Neema huwa sisikilizi nyimbo zake kabisa hajui kitu aisee.
 
Back
Top Bottom