Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

Nimekubali unampenda Kiba, ila kama shabiki wake ni vema umpe mbinu za kukuza kiwango chake.

Sawa mimi ni team Diamond lakini napenda msanii wangu apate changamoto kutoka sehemu mbalimbali.

Mwambieni Kiba atoe nyimbo nzuri, atafute Uongozi wenye maono.

Maana wimbo wake wa hapo kati Sijui unaitwaje ukiachana na mwanaDar,mwambieni autolee video

Kama hana za hela video ya Godfather sauzi mwambieni tumchangie.
 
Last edited by a moderator:
Mashabiki wa Diamond tunaraha sana. Meneja wake Salem kasema wiki hii kuna kitu kikubwa kitatokea tusubir. Haha wengine wanasubiri video ya King mwezi unaenda wa4 tangu ngoma itoke
 
Nafurahi sana kuona jina la KingKiba likiendelea kupata promo za kutosha kutoka kwa washabiki maandazi wa domo.

Sisi #TeamKiba porojo sio maisha yetu, kwetu sisi ni kazi tu, tunaendelea kupiga kura kama mchwa huku tukisubiri tuzo zetu 7 za KTMA, maana katuzo kamoja tu tulikobebea tayari kameshachafua hali ya hewa ya mtaa wa pili kwa jirani zetu sasa sipati picha baada ya hizi 7.

Tushuhudie mtanange wa msanii wa Kimataifa Diamond aliyebeba tuzo za channel O Vs msanii wa kitaifa Kiba, hapo jasho lazima limtoke msanii wa kimataifa hahahhaha.
 

Kiba ushauri kapewa na anaufanyia kazi si lazima afanye kama mond anavofanya vitu vyake Mara drama za kudate. Kila msanii na njia zake kwenye mziki. Wewe unauona umeishia Dar lakini uko mbali hadi mikoani una bamba kinoma noma. Mbona hata wimbo wa boss ako ule wa mipasho umesahaulika. Sie twacheketua kwa raha zetu #teamnostress forever.
 
Wewe nawe sijui una matatizo gani kuniandikia uchuro...ebu niache mie yamewashinda kivyenu maulana ana husika nini apa? Unamwita Mungu kwenye umbea aje anichambe au?

Ni mashairi ya wimbo mpya wa ney ft mondi ka vp kausiilize utaelewa nlichoandika usipaniki sana
 

"Sio Dar mpaka mikoani inabamba. "
Wakati kwenu mikoani ni mafanikio sisi tunawaza Ki Hollywood zaid.
 
Wema anaweweseka tu, hajui kusoma alama za nyakati. Boss lady ameshamtangulia atasoma namba sana
 
Mashabiki wa Diamond tunaraha sana. Meneja wake Salem kasema wiki hii kuna kitu kikubwa kitatokea tusubir. Haha wengine wanasubiri video ya King mwezi unaenda wa4 tangu ngoma itoke

ahahahaa nakuambia watu wana roho ngumu!!!mie siwezi kubeba kisichobebeka waallah!!
 

Yaani humu kweli kiba ndo habari ya mjini.... nani asiyemjua wanampigia promo kila kona..
 

Hii taarabu ndo ilimpeleka boda na mwanza hapa juzi kati na sa iv ana sho 5 za boda sasa twende kwenye chekecha sasa hata video imeshindikana
 
"Sio Dar mpaka mikoani inabamba. "
Wakati kwenu mikoani ni mafanikio sisi tunawaza Ki Hollywood zaid.

Hahaaaa ni vizuri pia sie ni charity begins at home kwanza nyie endeleeni mfunike duniani kabisa. Acheni kuhangaika na msanii ambaya hajavuka border bado pambaneni na wa nje ya Africa.
 
Hahaaa watafta visingizio hao mtu wao si super star international kwanini wanahangaika na mwanamziki asiye international.

Team ndomo na bosi wao hawana jipya wanachojua ni new id tuu.....
Kiba anawaumiza roho sanaaa jamani lol... na wataolewa mwaka huu
 
Ingekuw kaimba ney mwenyew ningeusikiliza ila kitendo cha kuimba na huyo ndomo kama kibuyu ndo kaharibu kila kitu

Hahaaaaaa tena huyo sijui ndo Neema huwa sisikilizi nyimbo zake kabisa hajui kitu aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…