Hahaaaa umenichekesha ujue mamito cute b loh mwenyewe sina mda wa kusoma bandiko lenye hisia kuliko uhalisia. Tena kila point eti chuki kushushwa loh!na too much negativity siwezi.
MBULAMATALI wewe ni nani wa kunipangia cha kusema domo ni jina linalotamkwa kila sehemu celebrity forum ka utani kwahyo umeona Wa kiba tu wakimponda domo hao wengine hujawaona eeeh. Pole sana endeleni kujifariji nyie wenye jina kubwa duniani nzima eeh hao wanaomponda Ali kiba hujaona eeh. After all ungekua great thinker usinge base upande mmoja kusifia ukipendacho na kuacha kwingine ni kosa. Nakuona huna jipya sipo Jf kumsifia mtu wala kufurahisha watu I speak what I believe basi hayo mengine ni yenu.
Team ndomo na bosi wao hawana jipya wanachojua ni new id tuu.....
Kiba anawaumiza roho sanaaa jamani lol... na wataolewa mwaka huu
unaumiaje maskin pole ulitamani hata kiba ndo angeimba na ney ila ndo ivo hauziki
Hahaaaaaa tena huyo sijui ndo Neema huwa sisikilizi nyimbo zake kabisa hajui kitu aisee.
Huyu binti anatafuta kiki tuu hana lolote...waraka anamwandikia nani?.yaan sijausoma ata kidogo maana siku zote anaandikaga point less
Nimeitoa insta picha hii
ahahahaa nakuambia watu wana roho ngumu!!!mie siwezi kubeba kisichobebeka waallah!!
New I'd ndo wanaona mkombozi wao. Hujui kuwa wameajiriwa Ku create nyingi ili wamshambilie kiba vizuri mtandaoni. Watafungua sana Mpaka wachoke hawajiamini hadi kwa msanii ambaye hajavuka border. Teh teh international my foot loh!
Ebu kakojoe ulale maana sijui unadonoa donoa nini apa kama funza..
Pita ivi
Hahaaa zaidi ya kitabu nakwambia. Leo wanaanza kumuona Wema mzuri walivokua wanamshambulia kwa matusi ya kila namna. Wasio na msimamo ka bendera fata upepo.
Hii taarabu ndo ilimpeleka boda na mwanza hapa juzi kati na sa iv ana sho 5 za boda sasa twende kwenye chekecha sasa hata video imeshindikana
Ningumu sana kuwa shabiki wa kiba ukaenjoy. Mtu anatoa nyimbo kama hataki mpaka ajisikiee anajivuuuta yan. Akaiga kuvujisha nyimbo nae kama diamond maskini watu wakavipotezea hivo vinyimbo alivyovujisha
Ningumu sana kuwa shabiki wa kiba ukaenjoy. Mtu anatoa nyimbo kama hataki mpaka ajisikiee anajivuuuta yan. Akaiga kuvujisha nyimbo nae kama diamond maskini watu wakavipotezea hivo vinyimbo alivyovujisha
pole sana aisee sikumaanisha kuku panikisha see u ila lala ukijua Kiba hauziki yaan hana jipya
Yaani wanatuogopa lol. Kwani ni lazma kua na new id? Watafungua mpaka wachoke lakini kiba mbele kwa mbele
Boda ya kigodoro tu inayosikilizwa only coastal area. Video ya chekecha hata ikitolewa mwakani haina shida. Huyo mtu wenu anaye work under pressure za kushushwa ndo anajiharibia#Teamkibaforever
Na bado wakaendeleze ule Uzi wa makavu live. Wao si international kwanini wanahangaika na Kiba ka kuku anayetaka kutaga.