Kumbe anayemuoa Flora Mbasha ni member wa humu JF: Hongera sana mdau, imarisheni uhusiano na JF

Hayo ndiyo maisha ya binadamu la kushangaza nini?????Tuzungumze tuandike mambo ya msingi wadau wakisoma wakune vichwa na kufikiri na kubuni kwa ustawi wa JamiiF.
 
Kama ni member humu bila shaka atasoma koment, naomba nikuombe kitu ki1 bwana kusweka, huyo mtoto wa flora kula wewe acha uzabezabe wa wanaume wa dar, kula kuku na mayai yake kuonesha urijali wako.
Akipata mshubaki mpya hachelewi kumsingizia kambaka mwanae hafai huyo mama kwani ya mbasha yalikuaje
 
usijali ndugu hakuna tena upako hapo na tunasubiri muda tu kwani Mungu hadhihakiwi
 
Sijui mzee wa kuliamsha dude anaona wivu, ila sitoshangaa siku wakikumbushia enzi, kwa maana hawara hana talaka, ukimtaka unampata.
 

Holier-than-thou wa JF mnashangaza kwa ulimbukeni ulionao.

Huyo mshikaji ana utotoni gani?

Ana muharibu vipi huyo mtoto kama mama yake ameridhia kumuoa au wewe ndio mama yake?

Na mafundisho gani ya kilokole yanayosema kuwa mwanamke kuolewa na mwanaume ambae ni mdogo kiumri ni uchafuu!?

Wewe hapo umeolewa kwanza au bado unatumia sur name jina la baba yako na hapa umeshikwa na wivu baada kuona mwenzako kavalishwa pete.
 
Ukiona mtu anaponda jua ni mchaga!imewauma sana kijana wao kutupiwa virago!acheni msukuma afaidi![emoji38]
 
Flora kazeeka,emmanuel mbasha naye ni kama alikuwa mdogo kwa flora,huyu ni mdogo zaidi,

Inasemekana alianza kuzisaka ndizi tangu anasoma msingi,alikuwa anatoroka kwao

Ni Mjukuu wa Marehemu Moses Kulola(RIP)
 
Mkubwa sana yani kanipita almost 5yrs
Safi sana shem![emoji122] [emoji122] [emoji122] .....ila siku hizi mnatubaka sana na Mungu anawaona!!......Kama Miss Natafuta anasubiri umri uende ili aje kubaka vijana wadogo!![emoji1]
 
"Mlokole" anafunga ndoa mpya huku mumewe bado yu hai na madam akiwa na katoto kadogo. Tena inaonekana amemzidi umri pakubwa yule bwana mdogo. Yaani hapa dogo anaolewa na hili Nyangumi.
Yaani Bedford inavuta Nissan march
 
Kila la kheri kwenye ndoa yenuuu migegedano memaaa[emoji4] [emoji125]
 
Wanaume wanaobakwa JF kwa style ya mahusiano kama haya pia wapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…