#COVID19 Kumbe askofu Gwajima aweza kuwa sahihi: Tangia chanjo ya COVID-19 inatolewa mpaka tarehe 23 Agosti ilikuwa partially approved kutolewa kwa binadamu

Dunia iko kwenye nano technology na biosensors. Nyie mmekalia kuangalia kwa macho halafu unatuambia umethibitisha!!! Ni kweli usemacho, elimu yetu ina matatizo.
Mkuu,kama wewe umesomea sayansi ya dawa-In short,wewe ni aibu kubwa sana ya wasomi wa Taifa hili.Binafsi sijasomea science,lakini hainihitaji maarifa mengi kuweza kujua unayoyaandika hapa ni upumbavu mtupu.
 
Kirusi kinatengenezwa na chanjo inatengenezwa, kama walidhamiria kuharibu fertility kupitia chanjo walishindwaje kutengeneza kirusi cha uharibu fertility wasihangaike na chanjo? Na beberu huwa mnamuonea sana kila kitu anataka kuwauwa tu. Hizo ARV zinatoka kwake na anatoa bure. Je mnajua thamani ya dose moja ya ARV???? Mbona zenyewe hamsemi zina magnetics na micro chip??? Waliothibitisha usalama wa ARV sio hao hao WHO????
 
Mbona hamjitokezi kuchanja sasa?. Toka zifike Tz ni watu laki 3 tu wamechanjwa. Halafu ajabu vifo vitokavyo na chanjo haviwekwi wazi
Mimi nimechanja, wala sijaona sababu za kufuata wapumbavu wachache.

Ni at least vijana kinga zao bado zinahimili, wazee kubisha kuchanja ni ujuha tu.
 
Mkuu,kama wewe umesomea sayansi ya dawa-In short,wewe ni aibu kubwa sana ya wasomi wa Taifa hili.Binafsi sijasomea science,lakini hainihitaji maarifa mengi kuweza kujua unayoyaandika hapa ni upumbavu mtupu.
dawa hazina sensors ndugu. Bali the so called 'chanjo' imetumiwa kuingiza non-,eical technology ndani yake na watu wakadanganywa kuwa wanapokea chanjo.
 
Unafahamu kuwa virusi vya HIV vina patent kama ambavyo hivi vya covid-19 vina patent?
 
dawa hazina sensors ndugu. Bali the so called 'chanjo' imetumiwa kuingiza non-,eical technology ndani yake na watu wakadanganywa kuwa wanapokea chanjo.
Habari za sensors wewe si ndo umezileta hapa??
Ok Sawa,Chanjo yako wewe uliyobuni ikwapi utupatie baadhi ya siye tunaohitaji ili tusinunue za mabeberu?
 
Wewe hujalazimishwa kuchomwa na utakufa kama kuku
 
Wewe ndo tueleze tuanzia hapa ukinibu hili niulize la pili.

Kwanini chanjo ya Corona unatakiwa ujaze consent form wakati chanjo zingine huhitaji kujaza consent form?
Wewe ulipelekwà kliniki utotoni Bila form,tena lazima ijazwe kwa kila kliniki
 
Unafahamu kuwa virusi vya HIV vina patent kama ambavyo hivi vya covid-19 vina patent?
Sasa wanaosema chanjo imewekwa microchip
Source ni website ya TMDA
TMDA ya wapi hata hapa nchi ya Stanza tunayo TMDA tena ilianzishwa kipindi cha mwendazake kutoka TFDA, wewe unadhani TMDA ya mwendazake kwa hizi hoja zako wangeshindwa kukupa ubalozi wa hiari kweli??????
 
Wewe ndo tueleze tuanzia hapa ukinibu hili niulize la pili.

Kwanini chanjo ya Corona unatakiwa ujaze consent form wakati chanjo zingine huhitaji kujaza consent form?
Nimechanja Mbwa wangu mara nyingi na nilikuwa napewa form kujaza na cheti.
 
Unafahamu kuwa virusi vya HIV vina patent kama ambavyo hivi vya covid-19 vina patent?
Habari za sensors wewe si ndo umezileta hapa??
Ok Sawa,Chanjo yako wewe uliyobuni ikwapi utupatie baadhi ya siye tunaohitaji ili tusinunue za mabeberu?

Sasa wanaosema chanjo imewekwa microchip

TMDA ya wapi hata hapa nchi ya Stanza tunayo TMDA tena ilianzishwa kipindi cha mwendazake kutoka TFDA, wewe unadhani TMDA ya mwendazake kwa hizi hoja zako wangeshindwa kukupa ubalozi wa hiari kweli??????
Ndiyo hiyohiyo ninayoisema --- https://www.tmda.go.tz/announcements/frequently-asked-questions-on-covid-19-vaccines
 
Mbona unaeleza vitu ambavyo sijauliza? Nijibu Hilo la consent form tu ili tuendelea.

Yaani unaulizwa utaenda lini Kigoma?
Jibu; Nikifika nitaenda kumuona mama mdogo.
 
Hujajibu swali.
najua consent form hujazwa kwa mtu anayetegemea kufanyiwa operation.

Kwanini ujaze consent form kwenye chanjo hii wakati chanjo zote huwa hatujazi?
Wewe polio ulichanja ukiwa na akili timamu au unauliza tu maswali yasiyokuwa na msingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…