Kumbe "Assalamu alaykum" ndio salamu ya Watanzania ?

Kumbe "Assalamu alaykum" ndio salamu ya Watanzania ?

Gengis Khan wa Jf

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
1,311
Reaction score
3,344
Mzuka wana jamvi ?

Nilikuwa natafuta salamu halisi ya kitanzania maana watu wanasema shikamoo haina mana na ni salamu ya kitumwa .

Nimeona YouTube clip ya Oscar Kambona , alivyotangaza BBC Swahili kwa mara ya kwanza enzi hizo kabla uhuru katika tukio kubwa alianza kuwasalimia watu kwa salamu ya "Assalamu alaykum" kama salamu kwa Watanganyika

hivi hao watanganyika wako wangapi saivi gentleman waliobaki?

wanaweza kuzidi mia2 kweli kote nchini Tanzania? :KKonaW:
 
Me nashangaaga sana kumuona mkristo anamchukia muislam au muislam anamchukia mkristo wakati DINI zote hizo 2 pamoja na vitabu vyao vimeletwa na wazungu kwa lengo moja tu kuwavuruga watu kupitia hofu ya Mungu fake na iyo shikamoo nayo haina maana.
 
Hiyo ni salamu ya kiislam, sie wengine si waislam, haituhusu, kuishadidia ni kutukuza uislam, utamaduni wa kigeni ulioletwa na waarabu
Sasa kwa nini kipindi kabla ya uhuru na baada ndio ilikuwa salamu kuu hata Wakristo wakina kawaida kutumia ?

Kataa na Kiswahili haiwezekani kuzungumza sentensi tatu bila kutumia neno la kiarabu .

Zamani hata lugha ya Kiswahili kipindi Iko changa ikikosa neno au msamiati wanaangalia hiko kitu kiarabu kinaitwaje ndio rasmi hiko kitu kinaitwa kwa Hilo neno.
 
Oscar alitumia salamu hiyo kwa muktadha wa wakati huo (wakati wa harakati za kupigania uhuru ambapo muungano wa kidini ulikuwa chachu ya umoja).
 
Back
Top Bottom