Kumbe "Assalamu alaykum" ndio salamu ya Watanzania ?

Kumbe "Assalamu alaykum" ndio salamu ya Watanzania ?

Hiyo ni salamu ya kiarabu. Sema sasa wale wanaotumia kiarabu kwenye dini yao ndio wanafikiri ni salamu ya kidini.
Japo mimi mtu akinisalimia hivyo namjibu kwa kiswahili.
 
Mzuka wana jamvi ?

Nilikuwa natafuta salamu halisi ya kitanzania maana watu wanasema shikamoo haina mana na ni salamu ya kitumwa .

Nimeona YouTube clip ya Oscar Kambona , alivyotangaza BBC Swahili kwa mara ya kwanza enzi hizo kabla uhuru katika tukio kubwa alianza kuwasalimia watu kwa salamu ya "Assalamu alaykum" kama salamu kwa Watanganyika

View attachment 3596579
Salamu ya kitanzania ni habari gani? Hamjambo? Vingine no upuuzi
 
Hiyo ni salamu ya kiislam, sie wengine si waislam, haituhusu, kuishadidia ni kutukuza uislam, utamaduni wa kigeni ulioletwa na waarabu
Hiyo salamu ilikuwa ni ya wakristo na wayahudi toka zamani ila katika lugha isiyo ya kiarabu....mudi boy kaichukua na kuitamka kwa kiarabu.. hivyo wakristo na waislamu wapumbavu mnashindwa kujua ... watu wajinga na wapuuzi kama adriz Jagina wao wanadhani kiarabu ndiyo lugha ya dini ndiyo maana wanaswali kwa kiarabu na kuifadhi msahafu wana ifadhi kwa kiarabu (utumwa) wa kuabudu uarabu
 
Hiyo ni salamu ya kiarabu. Sema sasa wale wanaotumia kiarabu kwenye dini yao ndio wanafikiri ni salamu ya kidini.
Japo mimi mtu akinisalimia hivyo namjibu kwa kiswahili.
Upo sahihi kidogo ..hiyo salamu imechukuliwa na Muhammad kutoka uyahudi na ukristo na Muhammad kuibadili kuwa kwa lughq ya kiarabu ...soma RUTH MMOABU NA BOAZI ...PIA SOMA YESU ALIPO FUFUKA NA KIWATOKEQ WAFUSI WAKE.
 
Mzuka wana jamvi ?

Nilikuwa natafuta salamu halisi ya kitanzania maana watu wanasema shikamoo haina mana na ni salamu ya kitumwa .

Nimeona YouTube clip ya Oscar Kambona , alivyotangaza BBC Swahili kwa mara ya kwanza enzi hizo kabla uhuru katika tukio kubwa alianza kuwasalimia watu kwa salamu ya "Assalamu alaykum" kama salamu kwa Watanganyika

View attachment 3596579
Kwanza uko sahihi kuwa Shikamoo ni salaam ya kitumwa na yenye ukakasi wa historia yake!
Baba yangu ilikuwa au msalimie kilugha, au kikristo lakin sio shikamoo.
Tatzo ni ..Asalaam aleikhum watu wengi wanainasibisha na uislam.
Lakin kweli tunahitaji salaam ya kitaifa.
Nadhan tungeboresha asalaam kwa kiswahili ...Amani kwako....
Wazenji walishafanikiwa katika hili.
 
umenikumbusha kuna uzi unaomuhusu huyu mwamba oscar kambona aisee ni underrated legend ndo mmoja kati ya waasisi wa territory ya tanganyika.

hakuna mwafrika, arabs or any muslims aliyeanzisha "tanganyika territory" mnadanganyawa sana na kutumiwa na communists ...
 
Me nashangaaga sana kumuona mkristo anamchukia muislam au muislam anamchukia mkristo wakati DINI zote hizo 2 pamoja na vitabu vyao vimeletwa na wazungu kwa lengo moja tu kuwavuruga watu kupitia hofu ya Mungu fake na iyo shikamoo nayo haina maana.

hats communism thinking, umedanganywa sana na communists ...
 
Endelea kubaki kwenye matrix

usichokfahamu labda ni kwambawakati wa Christianization mwanzoni kabisa pagans waliwaita Christians waliokuwa wachache enzi hizo atheists, baada full Christianization kukamilika Christians wakachukuwa role ya pagans na kuanza kuwaita pagans ambao sasa walikuwa wachache atheists, so why am i telling you this? unaweza kujiona mjanja lkn you live in a matrix pia bila hata ya kujua ingawaje unafikiri unajua which is even more dangerous ...
 
Hiyo ni salamu ya kiarabu. Sema sasa wale wanaotumia kiarabu kwenye dini yao ndio wanafikiri ni salamu ya kidini.
Japo mimi mtu akinisalimia hivyo namjibu kwa kiswahili.

Wengi kwa kukosa akili wanadhani ni ya kidini. Siku moja nakula kitimoto nikasalimiana na ustaadhi wangu mmoja asalam aleikhum akasema hapo sistahili kumsalimia hivyo sababu inaweza leta taharuki.
 
Back
Top Bottom