Nani kapambanua kuwa ni dini mbili....tofauti? Labda ni Muhammad....
💥Ukristo(injili) ni mafundisho yote ya Mungu wa kweli, kutoka adamu na hawa hadi injili yenyewe.
💥Uyahudi ni itikadi kali ya (torati) ni mafundisho yote ya Mungu wa kweli kutoka Adam na hawa isipokuwa injili...wewe kinacho kuchanganya ni logic ..nisawa na mnavyo sema Musa ni mtume wa waisrael ila Musa ni mtume wa Mungu na toka kale shauri la Mungu ni kwa wanadamu wote ...sema kuna wengine walipata bahati ya kizazi kutoka katika wachamungu ndiyo hao waisrael kumtaja Mungu kawa ni wao ..ila toka zamani Mungu wa kweli ni kwa viumbe vyote...hivyo hoja yako ya Yesu kutokuwa mkristo ni sawa na hiyo ya Musa kusema siyo myahudi ..hayo ni majina tu yanayo nasibishwa na mtililiko fulani..
Kwenye uislamu imeandikwa kuwa UISLAMU ANATAMBUA KUWA INJILI(UKRISTO) NA TORATI(UYAHUDI) NI DINI MBILI ZA MWENYEZI MUNGU....labda nikudokeze kuwa uyahudi ni nini kidogo, uyahudi ni itikadi kali ya torati ndiyo maana siyo kila muisrael alikuwa ni myahudi...
Neno uyahudi ni kama leo ndani ya uislamu yalivyo maneno
ALLAHKAIDA ,BOKOHARAMU, TALIBAN, ni majina ambayo muhamadi hayajui kwa sababu ni itikadi za kidini ila ni ndani ya uislamu.
adriz Al-mukheef Jagina Covax Mufti kuku The Infinity Malaria 2