Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
hivi hao watanganyika wako wangapi saivi gentleman waliobaki?Mzuka wana jamvi ?
Nilikuwa natafuta salamu halisi ya kitanzania maana watu wanasema shikamoo haina mana na ni salamu ya kitumwa .
Nimeona YouTube clip ya Oscar Kambona , alivyotangaza BBC Swahili kwa mara ya kwanza enzi hizo kabla uhuru katika tukio kubwa alianza kuwasalimia watu kwa salamu ya "Assalamu alaykum" kama salamu kwa Watanganyika
Unyamer sana cute🤣🤣 noma
Mimi salamu yangu inatokana na ninae msalamia🤣🤣 noma
Ndio Kambona aliyetoa hiyo salamu sio Kabazi , ngoja nijiunge bando niweke clipKwa hio had wakristo pia?
Na ukristo je??Hiyo ni salamu ya kiislam, sie wengine si waislam, haituhusu, kuishadidia ni kutukuza uislam, utamaduni wa kigeni ulioletwa na waarabu
Sasa kwa nini kipindi kabla ya uhuru na baada ndio ilikuwa salamu kuu hata Wakristo wakina kawaida kutumia ?Hiyo ni salamu ya kiislam, sie wengine si waislam, haituhusu, kuishadidia ni kutukuza uislam, utamaduni wa kigeni ulioletwa na waarabu
Mbona huna akili ?Kobaz bhana
OKMbona huna akili ?
Hii mada inahusiana nini na Kobaz wakati video ipo YouTube Oscar Kambona ambaye sio kobazi "akisema anasalimia Wana afrika mashariki kwa salamu Yao assalamu alaykum?
ukristo hauko kama uislam, usifananishe ukristo na uislamNa ukristo je??
Hizo DINI zote mbili ni uhuni mtupu je unaweza kuniambia ni kwanini ukristo na uislam haujaenea china na Japan?ukristo hauko kama uislam, usifananishe ukristo na uislam