Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
What is so special kwa Aziz Kii kuwa Muislam? Mbona kuna wachezaji wengi Waislam duniani kote na hakuna anayejali!!Nimemuona ktk video moja akiwa msikitini siku ya ijumaa. Allah amjaalie adumu ktk ibada.
Waliokaribu nae wamshsuri asikubali tena kumvisha jezi yule dada siku ya Yanga Day.
Dini yetu inakataza mambo yale hasa zaidi hadhara ktk jamii
Halafu nilitaka pia kufahamu kama dini yenu inaruhusu watu kucheza/kuangalia mpira, badala ya kutumia muda wao mwingi kumswalia Mtume kama wafanyavyo ndugu zenu Wataliban.