Kumbe Aziz K muislam?

Kumbe Aziz K muislam?

Nimemuona ktk video moja akiwa msikitini siku ya ijumaa. Allah amjaalie adumu ktk ibada.
Waliokaribu nae wamshsuri asikubali tena kumvisha jezi yule dada siku ya Yanga Day.
Dini yetu inakataza mambo yale hasa zaidi hadhara ktk jamii
What is so special kwa Aziz Kii kuwa Muislam? Mbona kuna wachezaji wengi Waislam duniani kote na hakuna anayejali!!

Halafu nilitaka pia kufahamu kama dini yenu inaruhusu watu kucheza/kuangalia mpira, badala ya kutumia muda wao mwingi kumswalia Mtume kama wafanyavyo ndugu zenu Wataliban.
 
wewe mbona hujaenda Vatican na mumeo kubarikiwa kama alivyo shauri Papa? Makafiri mkisikia tu uislam unatajwa hua mnaumia sana,kama mada haikihusu au umeona haikufai ungepita tu kimya kafiri wewe.
 
Haya kamwambie na huyo aliyempost Mike Tyson,au yeye hafuatilii maisha binafsi ya Tyson?

Ukiwa star,chochote utakachokifanya basi kinakua ni habari,hapo unaweza kukuta unafuatilia wachezaji kibao wa Europe,

Kua mkweli tu,Udini ndio unaokutesa.
Me Sina udini, me ni mkristo
Naona ni sawa mtu akiwa muislam, budha, au pagan ni suala ambalo haliwezi kunikwaza Kwa vyoyote
Au eti mtu asipokuwa mkristo nimuuwe, nijitoe mhanga ndo nikapewe mabira sijui pombe, huo ni upuuzi
 
wewe mbona hujaenda Vatican na mumeo kubarikiwa kama alivyo shauri Papa? Makafiri mkisikia tu uislam unatajwa hua mnaumia sana,kama mada haikihusu au umeona haikufai ungepita tu kimya kafiri wewe.
Mkuu, mbona povu? Yaani Aziz Ki kuwa muisilamu nayo ni habari? Huyu huyu Ki anayevuta shisha au mwingine?
 
Kama sio habari mbona mmekasirika sasa? Kwanini msingeipotezea tu hii mada? Hao makafiri wenzako hujaona mapovu yao mpaka wanataja sijui taliban? Ukweli ni kwamba huu uzi umewachoma sana,mngeupotezea ndio ningeamini kua mmeona sio habari.
 
Me Sina udini, me ni mkristo
Naona ni sawa mtu akiwa muislam, budha, au pagan ni suala ambalo haliwezi kunikwaza Kwa vyoyote
Au eti mtu asipokuwa mkristo nimuuwe, nijitoe mhanga ndo nikapewe mabira sijui pombe, huo ni upuuzi
Umeanza kuwaonea wivu wenye bikra zao tena? Wewe bikra yako uliipoteza kwa kupewa nini?

Hii comment yako imeprove kua una chuki ya udini na huu uzi umekuuma sana,nyie makafiri hua hamuwezi kuficha chuki zenu,mpaka umeamua kujiweka wazi kabisa,umekwepa kwepa mwisho umejiweka wazi.
 
Umeanza kuwaonea wivu wenye bikwa zao tena? Wewe bikra yako uliipoteza kwa kupewa nini?

Hii comment yako imeprove kua una chuki ya udini na huu uzi umekuuma sana,nyie makafiri hua hamuwezi kuficha chuki zenu,mpaka umeamua kujiweka wazi kabisa,umekwepa kwepa mwisho umejiweka wazi.
Kuwa na fikra huru
Ni ukweli ulio wazi kuwa wote hatuwezi kuwa waislamu
Usijipe hasira za Bure na kuona wasio waislam ni maadui wako
Wasio waislam wako sahihi kama na ww unavoona uko sahihi kuwa muislam
 
Wewe ndio umejipa hasira za kipumbavu,unaanza kuongea hovyo kama akili umeziweka mfukoni,ni wapi asiyekua muislamu anauawa? Unaweza kuleta hiyo aya pimbi wewe,wewe una chuki za kipumbavu kwenye uislamu,sijui x wako aliyekuacha alikua muislamu ndio umeamua kuelekeza chuki zako kwenye dini ya x wako,

Ni wapi nimesema wasiokua waislamu hawapo sahihi? Mbona kama vile umerukwa akili?
 
wewe mbona hujaenda Vatican na mumeo kubarikiwa kama alivyo shauri Papa? Makafiri mkisikia tu uislam unatajwa hua mnaumia sana,kama mada haikihusu au umeona haikufai ungepita tu kimya kafiri wewe.
Kafiri mama yako! Mbwa wewe.
 
Kafiri mama yako! Mbwa wewe.
Sasa kafiri kushikwa trako kidogo tu unaanza kutupa miguu hovyo? Naona dawa imekuingia kisawasawa na ndio faraja yangu ili siku nyingine upunguze chuki za kipumbavu,kama uliona uzi hauna maana ungepita kimya tu,

Mimi mamako ninae huku gheto.
 
Mbwa jike wewe usiye na mkia. Huna mamlaka ya kuwapangia watu cha kufanya humu jukwaani.
 
Mbwa wewe usiye na mkia. Huna mamlaka ya kuwapangia watu cha kufanya humu jukwaani.
Kama unajua kua hakuna mtu wa kuwapangia watu cha kufanya humu jukwaani,mbona wewe unatokwa povu kwa kuanzishwa huu uzi?

Kumbe unajua kua Jamiiforums is an open forums,sasa povu lenu kwa mleta mada linatoka wapi kama mnajua kua kila mtu yupo huru kuandika akitakacho ndani ya sheria za JF? msalimie mamako kama kishafika home.
 
Msimtenge dada wa watu maana nae ni muislamu pia
1733633486508.jpg
 
Nenda hospital wewe mgonjwa sasa aziz ki akiwa muislamu ndio nn yaan
 
Kama unajua kua hakuna mtu wa kuwapangia watu cha kufanya humu jukwaani,mbona wewe unatokwa povu kwa kuanzishwa huu uzi?

Kumbe unajua kua Jamiiforums is an open forums,sasa povu lenu kwa mleta mada linatoka wapi kama mnajua kua kila mtu yupo huru kuandika akitakacho ndani ya sheria za JF? msalimie mamako kama kishafika home.
Mbwa jike wewe acha kuwabwekea watu hovyo! Kwanza hii mada hujaianzisha wewe! Halafu mimi nilimuuliza mtoa mada! Sasa wewe kinachokuwasha ni nini? Ndiyo maana nakuambia wewe ni mbwa jike tu usiye na mkia.
 
Wewe ndio umejipa hasira za kipumbavu,unaanza kuongea hovyo kama akili umeziweka mfukoni,ni wapi asiyekua muislamu anauawa? Unaweza kuleta hiyo aya pimbi wewe,wewe una chuki za kipumbavu kwenye uislamu,sijui x wako aliyekuacha alikua muislamu ndio umeamua kuelekeza chuki zako kwenye dini ya x wako,

Ni wapi nimesema wasiokua waislamu hawapo sahihi? Mbona kama vile umerukwa akili?
Sasa mtu mwenye Imani thabiti, una malezi ya wazazi
Unashindwa ustaarabu wa kujibu hoja pasipj matusi
Sasa kama wewe unayesali unatukana hivi, vipi ambaye haswali.
Ndo mtafukuza watu wasijiunge na dini yenu
 
Huyu kima ana mambo ya kifala sana. Ukiangalia kwenye maswali yangu kwa mtoa mada hakuna sehemu nimemtukana, zaidi tu ya kutaka ufafanuzi! Ila yeye ameamua kujigeuza Asha Ngedere na kuanza kuparamia watu hovyo kwa matusi na kejeli.
 
Back
Top Bottom