Katwangilo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2021
- 759
- 738
Polepole tulizinguana Ofisini kwake nikatulia nikamdanganya jambo fulani kuwa wewe role model wangu kisiasa badae akacheka na kuagiza soda jioni tukakutana sehemu...mitaa ya Sinza Hotel Fulani hivi...Pole pole aliposema unayajua ma v8 alimaanisha chama Cha masikini au matajiri.
Nakumbuka siku alikuwa anampongeza waziri wake mmoja hiviMarehemu huwa hasemwi vibaya ila ukweli yule marehemu alikuwa crazy. Na ndio maana hata yeye mwenyewe alikiri kuwa kichaa.
Marehemu huwa hasemwi vibaya ila ukweli yule marehemu alikuwa crazy. Na ndio maana hata yeye mwenyewe alikiri kuwa kichaaDa
🤣🤣🤣🤣🤣 Polepole bhuanaaaaaPolepole tulizinguana Ofisini kwake nikatulia nikamdanganya jambo fulani kuwa wewe role model wangu kisiasa badae akacheka na kuagiza soda jioni tukakutana sehemu...mitaa ya Sinza Hotel Fulani hivi...
Tukamlengesha kadem kamoja ka chuo kutoka pale Diplomasia akaruka nako kumbe tunamchora ahahahahha..
Amna MTU pale
Hapana Malinzi kwao ni kyaka sehemu za bunazi pale halmashauri ya wilaya ya misenyi.Yeah! Pale Omukajunguti ndipo ulikuwa ujengwe uwanja wa ndege wa Kimataifa wa East Afrika nasikia ukapelekwa Chattle!
Sema akina Bulembo ni familia kubwa sana, hayo maeneo sindo anatoka pia Jamal Malinzi?
Tunamuangalia tu! Sema kanajikaza kaza kiaina!🤣🤣🤣🤣🤣 Polepole bhuanaaaaa
Tunamuangalia tu! Sema kanajikaza kaza kiaina!
Ooh! Asante sana, maeneo yale mazuri sana kiuwekezaji hasa miwa ile wanafanya out growing!Hapana Malinzi kwao ni kyaka sehemu za bunazi pale halmashauri ya wilaya ya misenyi.
Haya nayo yalikuwa maajabu ya kufungia mwakaKama nyie mlivyozoa Lowasa, mtu mliyemwita Fisadi kwa miaka 10!!
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Duh! Kaipost leo?View attachment 2042435
Hii unaionajeeee ukifuatilia na tukio la kuibiwaaaaa
Nakumbuka Lowasa nilijipenyeza kwenye kampeini zake moja pale Mbagala Zakiem, akasema Erimu erimu erimu mkinipa kura nitaleta majembe mkalime...Haya nayo yalikuwa maajabu ya kufungia mwaka
Kina Malinzi ndiyo nina uhakika kuwa wamejipanga vizuri sana kimaisha.Ooh! Asante sana, maeneo yale mazuri sana kiuwekezaji hasa miwa ile wanafanya out growing!
Kuna kipindi naskia ardhi ulikuwa inauzwa bei che nikatoka Dar nikakuta imepanda sana..
Familia za akina malinzi na hawa Bulembo wameenea sana maeneo haya
Hiyooo alipost wakati yupo manyara babati lkn baada ya kurudi nyumbaniii qnakuta unyama mwing aiseeView attachment 2042435
Hii unaionajeeee ukifuatilia na tukio la kuibiwaaaaa
Naskia wana hela sana wale jamaaKina Malinzi ndiyo nina uhakika kuwa wamejipanga vizuri sana kimaisha.
Hata ukifika kijijini kwao unaweza usijue kama upo kijijini labda kitakacho kustua ni migomba tu.
Duh! Kaipost leo?
Mkuu, hoja za Polepole ijibiwe kwa hoja, hiyo ndio core subject.Huyo Msigwa alivyo sema atakaye muunga mkono Lowasa akapimwe akili, je alivyo baadae yeye akaja kumuunga mkono, alikuja na cheti kutoka milembe cha kuonyesha amepima akili?
Kiukweli hili sikulijua wakuu, hivi iliwezekanaje mwanachama wa CUF kuteuliwa kwenye cheo kikubwa Kabisa cha chama kingine cha KATIBU MKUU?
Ukweli huu umebainishwa na Bulembo aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazee wa CCM, ambayo iliwahi kushutumiwa na Kamati ya kuchunguza mali za CCM kwamba imetafuna hela na kuua shule za jumuiya hiyo.
Haya kwangu ni maajabu ya hatari sana.
Swali fikirishi😳Sasa unamuaminije mtu aliyekula pesa za shule
Acha majisifu na kujikweza kama Nape.Kichwa chako kimejaa tu fikra za ufisadi na kula rushwa.Ulitegemea Polepole alikuwa kiongozi ndio awe na Maghorofa?Kama unaijua historia ya nchi hii,maisha ya baba wa taifa,Mwl.Nyerere yalikuwa ya aina gani?View attachment 2042444
Hivi CCM mnakwama wapi mlijua MH. Magufuli atatawala milele au sasaa angalia ndani Kwa Hamfrey Polepole hamna KAZI kabisa sasa hiyo nyumba au Banda la kuku maisha yake kama mwanafunzi wa chuo anaeanza maisha