Kumbe Bashiru Ally, Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM ni Mwanachama wa CUF?

KWELI, mpaka kada wa CCM (Lowassa) Kawa raisi wa CHADEMA! Huu ndio Uzuri wa kuwa mtanzania.

MaCCM akili zenu hazina akili, hivi kuna ulazima gani kwa Chama maiti kuiga kila wanalofanya CHADEMA hata likiwa ni baya.
Ni kupoteza muelekeo tu, mmeishiwa raslimali watu. .?!

Yule HAYAWANI akawa anamtumia polepole kununua binaadamu kama samaki wabichi.
Kama nyie mlivyozoa Lowasa, mtu mliyemwita Fisadi kwa miaka 10!!

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
MaCCM akili zenu hazina akili, hivi kuna ulazima gani kwa Chama maiti kuiga kila wanalofanya CHADEMA hata likiwa ni baya.
Ni kupoteza muelekeo tu, mmeishiwa raslimali watu. .?!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Si kwamba aliwahi kuwa , ni mwanachama wa cuf , hana kadi ya ccm
 
Mare umesahau mlikuwa mna mshangilia raisi, raisi, raisi, Lowassa, Lowassa, raisi, CHADEMA, CHADEMA. Sikuhizi bado Lissu mnamshamgilia hivyo hivyo. Akili zako kidogo nini? Umeisha sahau! Lo! Sasa nimekukumbusha wewe
Akili ndogo
 
Polepole tulizinguana Ofisini kwake nikatulia nikamdanganya jambo fulani kuwa wewe role model wangu kisiasa badae akacheka na kuagiza soda jioni tukakutana sehemu...mitaa ya Sinza Hotel Fulani hivi...

Tukamlengesha kadem kamoja ka chuo kutoka pale Diplomasia akaruka nako kumbe tunamchora ahahahahha..

Amna MTU pale
Hapo tukisema mlipa rushwa ya ngono tutakuwa tunakosea? "Role modal" akachepuka mbele ya kamaera, hahaaa
 
Ni kweli kabisa. Hata Polepole hakuwa mwana CCM bali alikuwa CHADEMA. Hata Magufuli mwenyewe alikuwa mwana NCCR Mageuzi.

Anyway mwisho wa siku sisi sote ni watanzania sioni tatizo.

Magufuli alikuwa na vigezo vyake vya kutafuta wasaidizi wenye HULKA kama yake ya ukatili, ubaguzi, ubabe na UWONGO na uwizi.

Angalia hawa wote; Makonda (kuua na dhuluma), Ole Sabaya (kuua na dhuluma), Bashiru (propaganda za uwongo), Chalamila (vurugu na ukosefu maadili), Deus Kakoko (uwizi wa fedha), Kabudi (propaganda za uwongo), Polepole (propaganda na uzinzi), Cyprian Musiba (matusi kuropoka)
Propaganda na uzinzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] embu jazia nyama hapo kidogo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wote Polepole na Magufuli ni waongo hasa kwenye takwimu. Lakini wote walikuwa wanaishi na VVU zutokanazo na ngono zembe (unprotected sex).

Hivi unaionaje ngozi ya Polepole? Au mabaka aliyokuwa nayo Mwendazake siku za mwisho? Ukuona herpe zoster?
 
Eeeh????? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Clinical Dx hiyo
 
Wote Polepole na Magufuli ni waongo hasa kwenye takwimu. Lakini wote walikuwa wanaishi na VVU zutokanazo na ngono zembe (unprotected sex).

Hivi unaionaje ngozi ya Polepole? Au mabaka aliyokuwa nayo Mwendazake siku za mwisho? Ukuona herpe zoster?
Unadhani_huyu_MHUNI_anafanya_Nini_hapa%3F%0A%0AA._Anahalalisha_UHUNI%0AB._Anahalalisha_wizi_wa...jpg
 
Polepole tulizinguana Ofisini kwake nikatulia nikamdanganya jambo fulani kuwa wewe role model wangu kisiasa badae akacheka na kuagiza soda jioni tukakutana sehemu...mitaa ya Sinza Hotel Fulani hivi...

Tukamlengesha kadem kamoja ka chuo kutoka pale Diplomasia akaruka nako kumbe tunamchora ahahahahha..

Amna MTU pale
Hahahahaaaaa mbavu zangu. We jamaa wewe Mungu anakuona ujue
 
Back
Top Bottom