Kumbe BongoFleva inalipa!! Diamond Platnumz anaingiza Milioni 200 kwa mwezi kwa matangazo tu

Kumbe BongoFleva inalipa!! Diamond Platnumz anaingiza Milioni 200 kwa mwezi kwa matangazo tu

Kwahio kinacholipa ni Bongo Fleva (mauzo ya Album) au Matangazo (Branding)

Unaweza ukawa hauna kipaji ila charisma / brand / appearance / marketing ikakufanya uuze In the end sio kwamba product ni nzuri kiasi gani, bali ni umahili wa salesperson wa hio product
 
6000× 60×60 = 21,000,000/ hour, 😂😂😎😎
Screenshot_20210129-122757~2.png
so what's your point? Na meno ukatoa nje kabisa!
 
Mkwe wangu alistaafu mwaka jana na alikua senior officer serikalini akaramba mafao ya mil 500
Hii ni sawa na miezi miwili tu ya huyu chizi
Kweli maisha hayajawahi kuwa fair
MTU anayelipwa mshahara wa senior officer ana uhakika wa muendelezo wa maisha mazuri kuliko hawa wasanii wakubwa wa bongo wanaopata hela nyingi at their peak. Mr Nice na wengineo ukirudi nyuma
 
Back
Top Bottom