Kumbe BongoFleva inalipa!! Diamond Platnumz anaingiza Milioni 200 kwa mwezi kwa matangazo tu

Kumbe BongoFleva inalipa!! Diamond Platnumz anaingiza Milioni 200 kwa mwezi kwa matangazo tu

MTU anayelipwa mshahara wa senior officer ana uhakika wa muendelezo wa maisha mazuri kuliko hawa wasanii wakubwa wa bongo wanaopata hela nyingi at their peak. Mr Nice na wengineo ukirudi nyuma
Lakini ukirudi kwenye mambo ya hela inatakiwa displine ya hela na malengo,kuna polisi wanastaafu hawajajenga na kuna wenzao mishahara hiyo hiyo wana majumba hatari na usafiri.

Kuna wasinii mziki ukiwakataa wanafulia kuna wengine mziki unakataa ila wameinvest na Wana hela
 
Yeah, mbunge yule alisema namba hazidanganyi....angekaa na kalikuleta kwanza.

Ni pesa nyingi kwa mtu anayeishi kwenye nyumba ya kupanga anayolipa kodi ya Tsh 1,500,000
Lakini mkuu hiyo ishu ya kupanga ni kweli au propaganda ?kweli diamond hadi leo hajajenga? Kama hajajenga kuna something wrong
 
Lakini ukirudi kwenye mambo ya hela inatakiwa displine ya hela na malengo,kuna polisi wanastaafu hawajajenga na kuna wenzao mishahara hiyo hiyo wana majumba hatari na usafiri.

Kuna wasinii mziki ukiwakataa wanafulia kuna wengine mziki unakataa ila wameinvest na Wana hela
Diamond yuko juu sana ya nice
Diamond amewekeza mpk sasa anazidi kukaza
Nice alikuwa hana nidhamu ya hela kwa wakati wake ule

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Zaid ya mil 400 analipa kodi Kwa mwaka na hyo ilikuwa ni 2017

Hivi mnajua Mil 400 kweli au huwa mnaandika tu?

Zaidi ya Miaka 6 ameshindwa kuleta Rozi Rozi amebakiza porojo tu ila ni technik nzuri sana ya kuwapanga wadhamini wakija ili waje vizuri.

Mtu mwenye pesa angalia nyumba yake tu,sasa mtu mwenye pesa kweli anaendelea kupanga? Kama anaingiza mil 55 kwa wiki ,ameshindwa kabisa kununua beach plot ya mil 600 na kuweka mansion?

Tajiri anashindwa kumpa baba yake mlezi hata ka raum atembelee?
 
Nyumba kajenga hati kaandika jina la mama yake na ndipo anapoishi shamte na mama mtu. Pale ghorofani kapanga

#haterwanguvu
Mtu amiliki magar ya kifahar namna , Ile awe na vituo vya redio , afanye show nje ya nchi dozen na dozen , ashindwe kujenge nyumba ??? Au tunapenda Tu kumdharau kijana wa watu ....
Ipo kwa dalalikiongozi naona wanapenda kupanga kwa huyo mtu hata rayvan alipanga kodi ikamshinda,nyumba ikatangazwa inapangishwa.
Lakini mkuu hiyo ishu ya kupanga ni kweli au propaganda ?kweli diamond hadi leo hajajenga? Kama hajajenga kuna something wrong
 
Atasingizia anajenga wachafu tower😂😂😂😂😂 japo anajitahidi kuongeza sifuri ila watu wake wa pembeni wanazipunguza kwa kuumbuka hasa lile gari la zawadi ya esma

Back
Top Bottom