Kumbe BongoFleva inalipa!! Diamond Platnumz anaingiza Milioni 200 kwa mwezi kwa matangazo tu

Kumbe BongoFleva inalipa!! Diamond Platnumz anaingiza Milioni 200 kwa mwezi kwa matangazo tu

Mkuu kweli wewe haujui kitu ,una uhakika magari ni yake? Hivi unawajua wasaniii kweli wewe? Achana na tantalila za wasanii.
unamaana hana nyumba, gari pesa nk inamaana zile Show zote ni feki L, TV Radio fake, Wcb ni fake wasanii waliochini tae ni midori au mimi ndio sielewi

Basi kwamantiki hii Tz hakuna mwenye pesa
 
unamaana hana nyumba, gari pesa nk inamaana zile Show zote ni feki L, TV Radio fake, Wcb ni fake wasanii waliochini tae ni midori au mimi ndio sielewi

Basi kwamantiki hii Tz hakuna mwenye pesa
Ukishawaelewa wasanii hupati tabu ndugu hivyo quote unavyojiuliza ngoja mda ndio uamue mana siku zote tunaambiwa mda ni mwamuzi mzuri
 
unamaana hana nyumba, gari pesa nk inamaana zile Show zote ni feki L, TV Radio fake, Wcb ni fake wasanii waliochini tae ni midori au mimi ndio sielewi

Basi kwamantiki hii Tz hakuna mwenye pesa

Hauwezi kuelewa.....Hata Harmorapa naye anamiliki wasanii.
 
Lakini mkuu hiyo ishu ya kupanga ni kweli au propaganda ?kweli diamond hadi leo hajajenga? Kama hajajenga kuna something wrong
No, amejenga kwenye kiwanja cha mama'ake Madale. Mama yuko na Ben10, yeye na Zari, dada zake na vijamaa vyao humo humo, akaona isiwe tabu, akaenda kupanga....eti kanunua hoteli lakini anapanga, eti anaingiza 500m kwa mwezi, upuuzi tu
 
Mtu amiliki magar ya kifahar namna , Ile awe na vituo vya redio , afanye show nje ya nchi dozen na dozen , ashindwe kujenge nyumba ??? Au tunapenda Tu kumdharau kijana wa watu ....
Sijasema namdharau kwenye post yangu just nimekoment ukweli,
Labda kwa minajili yako labda anajidharauzisha yeye mwenyewe
 
Huyu Simba anajua kufanya mziki sio hawa wengine,Kiba na Konde big up pia kwao.
 
No, amejenga kwenye kiwanja cha mama'ake Madale. Mama yuko na Ben10, yeye na Zari, dada zake na vijamaa vyao humo humo, akaona isiwe tabu, akaenda kupanga....eti kanunua hoteli lakini anapanga, eti anaingiza 500m kwa mwezi, upuuzi tu
Mtu aingize 500m per month achemke kutoa 5m per month kwa ajili ya malezi ya mwanae!

Asilimia moja ya kipato chake kwa mwezi!
 
Hivi mnajua Mil 400 kweli au huwa mnaandika tu?

Zaidi ya Miaka 6 ameshindwa kuleta Rozi Rozi amebakiza porojo tu ila ni technik nzuri sana ya kuwapanga wadhamini wakija ili waje vizuri.

Mtu mwenye pesa angalia nyumba yake tu,sasa mtu mwenye pesa kweli anaendelea kupanga? Kama anaingiza mil 55 kwa wiki ,ameshindwa kabisa kununua beach plot ya mil 600 na kuweka mansion?

Tajiri anashindwa kumpa baba yake mlezi hata ka raum atembelee?
Rozi rozi gan tena jaman..... C tulsema tutatumia boda tu hi 2021[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wanaume na midevudevu yenu mnabishania pesa ya mwanaume mwenzenu mara oooh"hana nyumba kapangisha, alisema atanunua rozi rozi mpaka leo hajanunua, etc" seriously!!!? 😂😂😂🙌🚮
 
Back
Top Bottom