Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
ππππππHuku bongo kiongozi akiitwa 'Maharage'....unategemea nini sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππHuku bongo kiongozi akiitwa 'Maharage'....unategemea nini sasa?
Shuleni ulienda kusomea ujinga? Tangu lini maji ya ziwa Victoria yanatiririka kwenda Ethiopia? White Nile ndiyo mto unaotiririsha maji kutoka ziwa Victoria kwenda Misri kupitia Uganda na Sudani Kusini. Blue Nile ni mto unaoanzia ziwa Tana nchini Ethiopia na kwenda kuungana na White Nile Khartoum nchini Sudani. Hivyo basi bwawa la Ethiopia limejengwa kwenye Blue Nile unaotiririsha maji kutoka ziwa Tana na si Victoria kama unavyofai.Shida kwenye mradi wetu unategemea maji ya mvua na mito midogo!hivi vyanzo vinaweza kukauka,kama inavyotokea sasa hv,maji yemepungua chanzo Cha ruvu,umeme umekuwa shida,Ethiopia wanategemea maji ya mto Nile,kutoka ziwa Victoria!hiki chanzo hakitakauka,mpaka milele!
Acha kupotosha, Ethiopia chanzo chao ni Blue Nile kinaanzia ziwa Tana nchini Ethiopoa na si Victoria. Chanzo cha White Nile ndicho kinachoanzia ziwa Victoria.Hivi shuleni ulienda kusomea ujinga?Tofauti iliyopo kati yetu na bwawa la Ethiopia ni vyanzo, wakati sisi tunategemea maji ya mvua yakajaze mito hasa Ruvu ndio maji ya kutosha yapatikane bwawani, Ethiopia chanzo chao ni mto Nile unaoanzia Ziwa Victoria, hawa waliona mbali zaidi.
Lilikuwepo ila lilikuwa wazo mfu, alihitajika mtu wa kuja kulifufua maana ilionekanika ni suala lisilo wezekanikaHakuja na hilo wazo, lilikuwepo tangu enzi za Nyerere.
Watu kuajiriwa sio nadhari, wanaonekana na wanafanya kazi. Uwekezaji ni mchakato endelevu na ngumu kuunadi ukiwa huna nishati ya uhakika.Hizo ni nadharia leta takwimu hilo bwawa limeajiri watu wangapi, Ethiopia impata wawekezaji wangapi kupitia hilo bwawa?
Jiulize kwanini Kenya inaonunua umeme kutoka Uganda na Ethiapia kwanini mpaka leo imebaki kuwa industrial hub ya Africa mashariki kuliko nchi zenye umeme wawakika
Tofauti iliyopo kati yetu na bwawa la Ethiopia ni vyanzo, wakati sisi tunategemea maji ya mvua yakajaze mito hasa Ruvu ndio maji ya kutosha yapatikane bwawani, Ethiopia chanzo chao ni mto Nile unaoanzia Ziwa Victoria, hawa waliona mbali zaidi.
Unapinga nini sasa?Hakuja na hilo wazo, lilikuwepo tangu enzi za Nyerere.
Chanzo cha maji cha bwawa la Ethiopia siyo Ziwa Victoria (White Nile) bali ni Blue Nile inayoanzia milima ya huko huko Ethiopia!Tofauti iliyopo kati yetu na bwawa la Ethiopia ni vyanzo, wakati sisi tunategemea maji ya mvua yakajaze mito hasa Ruvu ndio maji ya kutosha yapatikane bwawani, Ethiopia chanzo chao ni mto Nile unaoanzia Ziwa Victoria, hawa waliona mbali zaidi.
Tofauti iliyopo kati yetu na bwawa la Ethiopia ni vyanzo, wakati sisi tunategemea maji ya mvua yakajaze mito hasa Ruvu ndio maji ya kutosha yapatikane bwawani, Ethiopia chanzo chao ni mto Nile unaoanzia Ziwa Victoria, hawa waliona mbali zaidi.
Kusomea ujinga maana yake nini? ningesomea ujinga hata hilo ziwa Victoria nisingelijua wala mto Nile, na usipende ku copy maneno ya wengine, huko ndio kujifunza ujinga, tafuta yako!Acha kupotosha, Ethiopia chanzo chao ni Blue Nile kinaanzia ziwa Tana nchini Ethiopoa na si Victoria. Chanzo cha White Nile ndicho kinachoanzia ziwa Victoria.Hivi shuleni ulienda kusomea ujinga?
Muhimu chanzo cha maji ya hilo bwawa ni kutoka ziwani, ambapo wana chanzo cha uhakika cha kuzalisha umeme, hilo la blue Nile sikuwa na wazo nalo.Acha akil za ajabu muwe mnasoma kwanza ! Chanzo cha kutoka ziwa Victoria sicho kilichopo Ethiopia, kule kuna chanzo kingine. Hujui kama kuna blue Nile na White Nile na vyote vinakutana Sudan. Pia chanzo chenye maji mengi ni kile kinachotoka Ethiopia ndo maana Wamisri walipiga kelele sanaa
Ok.Chanzo cha maji cha bwawa la Ethiopia siyo Ziwa Victoria (White Nile) bali ni Blue Nile inayoanzia milima ya huko huko Ethiopia!
duh..!!We ni kitojo Ruvu na Bwawa la Nyerere wapi na wapi? Hujui tofauti ya Ruvu na Rufiji halafu unaandika upopoma
Kama Kenya tu watalipa USD milioni mia kwa mwaka kwq miaka hansini watakuwa wamelipa USD milioni elfu tano i.e USD bilioni tano; kama walijenga kwa USD Milioni elfu sita huoni kuwa almost watakuwa wamerudisha hela waliyoinvest? Kumbuka kenya hawanunui umeme wote ni megawati 2 000 tu kati ya 5,000.. Hizo zingine zitauzwa ndani ya nchi na pia kuchochea uzalishaji katika sekta nyingi tu. umeme wa ethiopia utawalipa sanaBwawa la Ethiopia lime cost wafadhiri $6bn I.e $6000m + environment costs and risks kwa miaka 50 litawarudishia $500m minus operational cost, ni kama $300m, hiyo biashara haifae bora ununue umeme kuliko kutengeneza bwawa.
Zile nguzo mpya zinazo elekea Namanga ni za nini unazani? Uliza uambiwe,Hakuna umeme wowote tunaounua kutoka Ethiopia
Unatagemea hela irudi ndani ya mwaka mmoja au mimi ndo sijakuelewa.Bwawa la Ethiopia lime cost wafadhiri $6bn I.e $6000m + environment costs and risks kwa miaka 50 litawarudishia $500m minus operational cost, ni kama $300m, hiyo biashara haifae bora ununue umeme kuliko kutengeneza bwawa.
Mkuu hiyo sio biashara mantainanxe ya bwawa iko juu sanaa, miaka 50 cabinet yote ya mawaziri watakua wamesha kufa na umasikini utabaki pale pale, bora hiyo pesa $6bn Uwekeze kwenye viwanda zaidi ya 1000 ununue umeme kwa nchi isio kua na viwanda, utaweza kutowa ajira za moja kwa moja sio chini 1m kwa raia wakawaida purchasing power zita ongezeka na domestic market itapanuka zaidi, viongozi wetu wamejaa mihemko bila kua na real strategic planning.Kama Kenya tu watalipa USD milioni mia kwa mwaka kwq miaka hansini watakuwa wamelipa USD milioni elfu tano i.e USD bilioni tano; kama walijenga kwa USD Milioni elfu sita huoni kuwa almost watakuwa wamerudisha hela waliyoinvest? Kumbuka kenya hawanunui umeme wote ni megawati 2 000 tu kati ya 5,000.. Hizo zingine zitauzwa ndani ya nchi na pia kuchochea uzalishaji katika sekta nyingi tu. umeme wa ethiopia utawalipa sana
Mkuu hiyo sio biashara mantainanxe ya bwawa iko juu sanaa, miaka 50 cabinet yote ya mawaziri watakua wamesha kufa na umasikini utabaki pale pale, bora hiyo pesa $6bn Uwekeze kwenye viwanda zaidi ya 1000 ununue umeme kwa nchi isio kua na viwanda, utaweza kutowa ajira za moja kwa moja sio chini 1m kwa raia wakawaida purchasing power zita ongezeka na domestic market itapanuka zaidi, viongozi wetu wamejaa mihemko bila kua na real strategic planning.
Mkuu hauko sahihi.Mkuu hiyo sio biashara mantainanxe ya bwawa iko juu sanaa, miaka 50 cabinet yote ya mawaziri watakua wamesha kufa na umasikini utabaki pale pale, bora hiyo pesa $6bn Uwekeze kwenye viwanda zaidi ya 1000 ununue umeme kwa nchi isio kua na viwanda, utaweza kutowa ajira za moja kwa moja sio chini 1m kwa raia wakawaida purchasing power zita ongezeka na domestic market itapanuka zaidi, viongozi wetu wamejaa mihemko bila kua na real strategic planning.