Kumbe Carrymastory ni DJ halafu ni mtoto mbichi mkali kabisa

Wabongo tunakandia sana aisee..yani saa zingine hua natembeleaga Jamiiforums ya Nigeria inayoitwa Nairaland yani kule mtu akianzisha mada dem wa kawaida ila mtu akisema mzuri washkaji wote wanashow love kusifia uumbaji wa Mungu lakini bongo sasa cheki waliomponda mdada wa watu daaah aiseee...
 
Washikaji had wanauliza kama huyu ni mwanaume au mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyegundua Make up ashukuriwe kwa kweli
 
Wabongo tunakandia sana aisee..yani saa zingine hua natembeleaga Jamiiforums ya Nigeria inayoitwa Nairaland yani kule mtu akianzisha mada dem wa kawaida ila mtu akisema mzuri washkaji wote wanashow love kusifia uumbaji wa Mungu lakini bongo sasa cheki waliomponda mdada wa watu daaah aiseee...

Hapo dada zao wabaya balaa,
 
dem akishakua na kampani za wanaume tu,hapo hakuna kitu tena
 
Back
Top Bottom