Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Wabongo tunakandia sana aisee..yani saa zingine hua natembeleaga Jamiiforums ya Nigeria inayoitwa Nairaland yani kule mtu akianzisha mada dem wa kawaida ila mtu akisema mzuri washkaji wote wanashow love kusifia uumbaji wa Mungu lakini bongo sasa cheki waliomponda mdada wa watu daaah aiseee...