Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Walimsema sana Sabaya kuwa aliua watu, alitesa watu, aliteka mali za watu. Leo hii umekosekana ushahidi wa kueleweka wa kumfunga.
Mdogo wangu Makonda ndo alisingiziwa mengi sana. Mpaka akahusishwa na kupigwa risasi kwa Lissu Antipas (Mungu azidi mponya) kumbe wala maskini. Makonda hakuwa na baya. Na tumeona hamna kesi ambayo hata wamejaribu kumfungulia.
Hii inaonesha wapinzani hasa Chadema huwa tu wanazusha mambo ambayo hata ushahidi wanakosa wakibanwa. Huwa wanakurupuka tu. Makonda walisema akifa baba yake atapata taabu sana.
Mpaka leo nakutana na Makonda sioni kama ana tabu yoyote ile. Yupo salama kabisa anakula maisha tu. Na kwa sasa anasema amepumzika na kelele za watu anakula pensheni.