Kumbe CHADEMA ni wazushi, waongo na wazandiki. Wakimchukia mtu wanamzushia uongo

Kwani sabaya laishinda kesi? si amefungwa mwaka mmoja nje na fidia ya 5M kwa makosa yote saba baada ya kukikiri(kukubali) makosa na akaomba maridhiano maaalum na DPP nje ya mahakama. sasa wewe unatuchanganya hapa
Ukisoma maelezo yanayotolewa ni kwamba amekiri makosa mawili tu yale mengine yamekosa ushahidi.Unless kuna kujichanganya kwa wanaotoa hizi taarifa.
 
Asante kunijuza,kitu ambacho kinanishangaza,kwa uzito wa hayo makosa aliyokiri ndiyo adhabu iwe kifungo cha Mwaka mmoja tu na fine 5M peke yake? Sitoshangaa mbele ya safari akaja safishwa
asafishwe wakati alikiri? hivi unajua uzito wa kukiri mbele ya mahakama? bora angekomaa DPP azifute
 
Mtoa uzi huna akili hata hujui kilichotokea, unajua maana ya plea bargain? Huyo Dogo amekiri makosa ndiyo maana amepata msamaha, majitu ya ccm ni empty head kabisa
Wote hawa ni Sukuma gang ndani ya CCM. Kweli CCM wana akili finyu ila Sukuma gang wameenda mbali zaidi mpaka kuwa na chuki
 
asafishwe wakati alikiri? hivi unajua uzito wa kukiri mbele ya mahakama? bora angekomaa DPP azifute
Kwa hapa kwetu kila kitu kinawezekana Mkuu,ni swala tu la matakwa ya watawala na kila kitu kinageuzwa upside down.
 
Walimsema sana Sabaya kuwa aliua watu, alitesa watu, aliteka mali za watu. Leo hii umekosekana ushahidi wa kueleweka wa kumfunga.

Mdogo wangu Makonda ndo alisingiziwa mengi sana. Mpaka akahusishwa na kupigwa risasi kwa Lissu Antipas (Mungu azidi mponya) kumbe wala maskini. Makonda hakuwa na baya. Na tumeona hamna kesi ambayo hata wamejaribu kumfungulia.

Hii inaonesha wapinzani hasa Chadema huwa tu wanazusha mambo ambayo hata ushahidi wanakosa wakibanwa. Huwa wanakurupuka tu. Makonda walisema akifa baba yake atapata taabu sana.

Mpaka leo nakutana na Makonda sioni kama ana tabu yoyote ile. Yupo salama kabisa anakula maisha tu. Na kwa sasa anasema amepumzika na kelele za watu anakula pensheni.

Sasa hivi tupo kipindi cha usuluhishi
Post kama hizi natamani moderator wafute na kudelete kabisa!
 
Mbona amekiri makosa?. Kama Hana hatia mbona kakiri makosa yote na kaachiwa kwa uangalizi Kama Zitto Kabwe.
 
Ndiyo maana hii vita waliyoianzisha kengeza na wenzake ayatola haina kwisha mpaka nao wafe kabisa na kuzikwa (ingawa wana muda wa kuomba msamaha hasa kwa kumdhihaki Dkt Magufuli juu ya kifo chake), na kibaya hawawafahamu adui zao and that’s a generational revenge ambayo iko. Na wajue hasira iliyopo ni kuu mno, Dkt Magufuli alifanya yale yote aliyofanya siyo yeye kama yeye kulikuwa na washauri ambao hawajafa na ndiyo maana kushughulikiwa kengeza na Ayatola ni taratibu and silent killing they will die
Yaani JPM amalizwe na wanaCCM wenzake huko alafu mapovu ulete kwa zzk na Mbowe unajitambua wewe? Wakati huyo JPM anapumulia mashine wapinzani ndio waliotaka tuambiwe afya ya Rais ila hao CCM ndio walipinga maana walijua wanachofanya. Badala laana iende kwa CCM eti Mbowe?

Kweli nchi imelaaniwa hii
 
Sasa hivi tupo kipindi cha usuluhishi
Post kama hizi natamani moderator wafute na kudelete kabisa!
Wewe nani? Mkuu enzi za kuifanya JF kuwa CHADEMA na CHADEMA kuwa JF zinatakiwa zikome na tutazikomesha
 
Walimsema sana Sabaya kuwa aliua watu, alitesa watu, aliteka mali za watu. Leo hii umekosekana ushahidi wa kueleweka wa kumfunga.

Mdogo wangu Makonda ndo alisingiziwa mengi sana. Mpaka akahusishwa na kupigwa risasi kwa Lissu Antipas (Mungu azidi mponya) kumbe wala maskini. Makonda hakuwa na baya. Na tumeona hamna kesi ambayo hata wamejaribu kumfungulia.

Hii inaonesha wapinzani hasa Chadema huwa tu wanazusha mambo ambayo hata ushahidi wanakosa wakibanwa. Huwa wanakurupuka tu. Makonda walisema akifa baba yake atapata taabu sana.

Mpaka leo nakutana na Makonda sioni kama ana tabu yoyote ile. Yupo salama kabisa anakula maisha tu. Na kwa sasa anasema amepumzika na kelele za watu anakula pensheni.
Makonda nataka amiable kwa nini aliniletea police na wapekuzi wa madawa ya kulevya nyumbani kwangu masaa 6 hawakupata kitu wala hakuomba samahani ni mchenzi wa kweli kweli. Nilipotaka kujua kwa nini alifanya nikaambiwa anataka ardhi yangu nitamlaani yeye na kizazi chake na wote alioshirikiana nao.
 
Walimsema sana Sabaya kuwa aliua watu, alitesa watu, aliteka mali za watu. Leo hii umekosekana ushahidi wa kueleweka wa kumfunga.

Mdogo wangu Makonda ndo alisingiziwa mengi sana. Mpaka akahusishwa na kupigwa risasi kwa Lissu Antipas (Mungu azidi mponya) kumbe wala maskini. Makonda hakuwa na baya. Na tumeona hamna kesi ambayo hata wamejaribu kumfungulia.

Hii inaonesha wapinzani hasa Chadema huwa tu wanazusha mambo ambayo hata ushahidi wanakosa wakibanwa. Huwa wanakurupuka tu. Makonda walisema akifa baba yake atapata taabu sana.

Mpaka leo nakutana na Makonda sioni kama ana tabu yoyote ile. Yupo salama kabisa anakula maisha tu. Na kwa sasa anasema amepumzika na kelele za watu anakula pensheni.
Mtu kakiri makosa yote anashindaje kesi? Hujawahi hata kusikiliza kesi ya watoto kudokoa mboga unawezaje kujua maana ya hukumu ya Sabaya?
 
Yaani JPM amalizwe na wanaCCM wenzake huko alafu mapovu ulete kwa zzk na Mbowe unajitambua wewe? Wakati huyo JPM anapumulia mashine wapinzani ndio waliotaka tuambiwe afya ya Rais ila hao CCM ndio walipinga maana walijua wanachofanya. Badala laana iende kwa CCM eti Mbowe?

Kweli nchi imelaaniwa hii
Wapinzani waliulizia ili kujihakikishia kafa kweli ili wafanye sherehe, tena huyo kengeza na ayatola walikuwa na sherehe kama lile jaribio la kumuua Dkt Magufuli lilivyoshindwa mtwara ayatola alipositi akionesha Rais Samia kawa rais. Hivyo hao ni adui wa kudumu wa taifa mpaka nao wafeeee
 
Back
Top Bottom