Kumbe CHADEMA ni wazushi, waongo na wazandiki. Wakimchukia mtu wanamzushia uongo

Chadema wakimshindwa mtu wanalialia sana kumpakazia mambo ya hovyo

USSR
Mbowe walisema kabambikiwa ila sabaya hajapambikiwa chadema bwana ukiwasikiliza utafikiri wanapoint kumbe hamna kitu kabisa sasa hivi cdm iko hoi icu Hela ya ruzuku halali ila wabunge haramu njaa tu inawasumbua
 
Wewe ni chizi na uchizi wenu wa kuendelea kulindana unalitafuna Taifa pole pole siku mkishtuka mtakuwa mmechelewa.Ninakuambia kuwa aliyekuroga kafa lakini ukweli wa hao mashetani bado upo pale pale na Mungu anajua adhabu yake ni nini sisi ni watazamaji tu.Fanyeni yooote lakini sote tupo mikononi mwa Mungu.
 
Adui wa Chadema ni MAGUFURI na Sukuma gang.
 
Kwani sabaya laishinda kesi? si amefungwa mwaka mmoja nje na fidia ya 5M kwa makosa yote saba baada ya kukikiri(kukubali) makosa na akaomba maridhiano maaalum na DPP nje ya mahakama. sasa wewe unatuchanganya hapa
Mkuu tuna taifa lenye vijana wa ajabu na akili fichu sanaa, na kwa mujibu wa sensa ya majuzi hawa vijana ndiyo walio wengi, tuna safari ndefu mnooo...
 
Mtoa uzi huna akili hata hujui kilichotokea, unajua maana ya plea bargain? Huyo Dogo amekiri makosa ndiyo maana amepata msamaha, majitu ya ccm ni empty head kabisa
Wewe bwege sana kama wote ingekuwa wanakiri wanapata msamaha hivyo basi wengi wasingefungwa.
 
Mimi siyo mpenzi wa chedema wala mwanachama ila huu utakhira aliouandika huyu mtoa post hauvumiki na ni kuonesha namna gani ana upenzi wa kitakhira

samahani nimetumia maneno haya kwa kukosa neno lililo bora la kuelezea mawazo yagu hapa

hivi kumbe Chadema ndiyo waliompeleka huyo Sabaya wako mahakamani na wala siyo nwendesha mashita baada ya kujiridhisha na masitaka yalikuwa yanamkabili

waswahili husema msaidie nduguyo faini siyo kesi.
 
Hilo genge la magaidi, watanzania hawana hata vibe nalo. Wazee wa asali
 
Sasa kwanini wasilaaniwe mnaodai aliuawawa... Eti walaaniwe wanaoshangilia? Mnamfanya Mungu baba yenu eeh? JPM alikufa kwa laana ya kutaka kumuua Lissu!!
 
Mbona Kengeza mmeshindwa kumkamata ina maana Kengeza ana nguvu kuliko serikali inayoongozwa na ccm?
Lisu a.k.a Punga alikataa kutoa ushirikiano na polisi, kamficha dereva kwa sababu anaogopa ataumbuka kengeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…