Kumbe CHADEMA ni wazushi, waongo na wazandiki. Wakimchukia mtu wanamzushia uongo

Na zile za uvamizi wa clouds alitengeneza nani vile. Nchi hii inawatu wapuuzi wengi sana. Ati na wewe ni Gt? Kinyaa
Hawa watu walizoea sana ujinga kila kitu ni kudhania dhania tu na kutumia nguvu kubwa kuzima ukweli katika zama hizi za utandawazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…