Kumbe CHADEMA wameanza kupokea ruzuku kimya kimya na hawasemi?

Kwa hiyo lengo la hii press ni nini? Hapo ndio utaona kazi hasa ya ZZK kwa upinzani ni ipi, si kujenga bali kubomoa tangu mwanzo ...
Hapo na kuelewa sana! Huyu Jamaa anavizia CDM wakosee tu yeye ndo aje ili awaangushe! Hata kutangaza kwake kustaafu 2024, ni ili Mbowe naye atangaze kustaafu akiamini yeye na Washirika wake watapata nafuu!
Nakumbuka siku CDM walipotangaza UKUTA, malumbano yalipo pamba moto na polisi, yeye akaibuka na kusema wao kama chama wanasubiri kwenda kuchangia damu kwa majeruhi Muhimbili!
Ktk hili ameona mikutano ya CDM umepamba moto, yeye haangalii hamasa ya Watanzania kutaka mabadiliko kupitia CDM, yeye kuamua kufanya biashara kwa maslahi yake ili CDM ianguke, watu waondoe imani yao kwa CDM ili yeye abaki na washirika wake!
Nadhani huyu anafaa atangazwe adui wa madiliko kwa Watanzania hadi hapo atakapobadilike!
 
Hawa mapambano yao ni kuwa chama kipi ni chama kikuu cha upinzani nchini. Yaani wanapambana kuhakikisha chama kinakuwa kikuu cha upinzani.
 
ACT kinawauma sana Chadema hakijafa😁
 
Njaa Haijawahi muacha mtu salama
 
Hivi ile kesi ya akina halima mdee iliishia wapi? Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa ni tamu na Siasa ndivyo zilivyo...
 
Kwa mtu mwenye Maarifa anaweza kuona kabisa kuwa, hii barua ni ya uongo (haijatoka kwenye chama)
Shukrani kwa muheshimiwa Raisi haziwezi kuchanganywa na mambo mengine ya hovyo hovyo
Hata hivyo, kama Chadema wangepokea Ruzuku kungekuwa na tatizo gani wakati wamesha ridhiana?
 
Kwenye maisha ya kawaida ni sawa ila kwenye mambo ya siasa inakuwa sio sawa. Yaani kosa lako linakuwa ni mtaji kwa mpinzani au mshindani wako.
 

 
We mpuuzi unashangaa kwamba CDM wanapokea ruzuku lakini unashindwa kushangaa kwanini walinyimwa?!
 
Kwa hiyo mnataka mkaipokeee badala yao auπŸ€”
 
Wakati wanakataa ruzuku walitujulisha Ila wakati wa kupokea (kula) hatujulishwi hiki chama hovyo sana,mbow.e kwenye hela humuambii kitu
 
Kumbe na chadema nao wanalamba sega la asali kiunyama namna hii.
Hoi nchi ngumu sana walahi😁😁
 
Chadema hawapokei ruzuku mkuu, na Hilo suala lilijadiliwa kwenye maridhiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…