Kumbe Diamond ana nyodo kiasi hiki



Kama ni suala la kubadili wanawake, hivi haufahamu kuwa Hata Ali Kiba nae ana watoto wanne tena wote sio wa mama mmoja, je hiyo haimaanishi kuwa na yeye anabadilisha wanawake?

Kwanini Ali kiba kama ni msanii mkali hamshindanishi na wasanii wengine wakubwa hapa Tanzania? kwann kila thread hapa JF ni Ali kiba VS Diamond..? hiyo inathibitisha dhahiri kuwa Diamond ni Mkubwa thus why mnatamani ashuke ili Ali Kiba arudi kwenye nafasi yake.
if that is the case sioni haja ya teamkiba kutumia nguvu kuwa kumponda Diamond ili wengine pia wamchukie, kama Ali Kiba ni ni mkali atamfunika tu.
 

Nimesoma aya mbili nimegundua huyu aliyeandika huu uzi si mjinga bali ni mpumbavu..hana akili we ulitaka dimond apige shoo za bei ya chini ili iweje..

TANZANIA na umaskini wetu T.i kutoka marekani anakuja kupiga shoo na anachukua hela za watu maskini..asa kwanini msanii wa hapa bongo akichukua pesa ww inakuuma...!!una chuki za kike na za kimaskini..

Ni kheri kuwa mjinga kuliko kuwa Mpumbavu
 
Shoga ni sheeedraaaaaaa leo nililala mapema nimeamka tena,nimekumissijee kule kwa kiba ngoja niende kuna mtu namtafutia ban akinipotezea tu ntaumiajeee

Nimekumiss pia shoga angu...nlikuwa busy for nothing, (najishauaje sasa) ila leo nipo sana...!
Ngoja nije huko kwa Kiba...
 

Na swala la t.I kupiga collabo na kiba inausu nini kila shetan na mbuyu wake mbona usem diamond kawania tuzo Bet au kapiga collabo na wangap ambao kiba ajapiga nao
 
Nawapa mwaka mmoja mtakuja kuniambia kama mtamsikia huyo Diamond maana hatosikika kabisaaa Alikiba now kila mtu anamsaidia maana wameshaona kwa Tanzania mtu wa kupigana na Diamond ni Alikiba na hii yote wanafanya kumuonyesha dunia huwa inabadilika na dharau hazifai.....subirini muone tu....
 
Mwambien boss wenu ahame sinza jaman anatia aibu, ameshindwa hata kukaa masaki kama dada jide? Jide ukisema habar

Bora umesema angekuwa ana hela angekaa sinza kwenye mitaro ya maji machafu......watu wengine bana
 

Umeshaanza kujipa majukumu ya unabii ...utatabiri sana mwaka huu
 
Kwann kiba asitangulie huko masaki??

Think first before you comment,Uliambiwa Ally kiba ameweka argument zozote au kujitangaza kwamba ana maisha mazuri??nini unachobisha hapo??

Unataka Ally Kiba atangulie wapi??kwanza yeye anajisikia??
 
Umeshaanza kujipa majukumu ya unabii ...utatabiri sana mwaka huu

Kiroho kimekuuma naona si umeshaona dalili mwenyewe,kama mashabiki ndio wanakuweka mjini alafu wanakuzomea unategemea nini???endelea kusema ni utabiri...
 

Usd 50m??????????????
 
Think first before you comment,Uliambiwa Ally kiba ameweka argument zozote au kujitangaza kwamba ana maisha mazuri??nini unachobisha hapo??

Unataka Ally Kiba atangulie wapi??kwanza yeye anajisikia??

Ile nyumba aliyopost sio kujitangaza kule???

au kujitangaza hadi upite na gari la matangazo mtaani
 
Ile nyumba aliyopost sio kujitangaza kule???

au kujitangaza hadi upite na gari la matangazo mtaani

Pepo la umaskini limekamata bongo za Watanzania wengi, mtu kwa vile anapata mlo mara moja kwa siku akiona Dimond kapost picha anakula kuku anasema anajitangaza...haha halafu akiambiwa unfollow hataki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…