Kumbe Diamond ana nyodo kiasi hiki

Kumbe Diamond ana nyodo kiasi hiki

Hahahaaa.
Timbwili liko hivi now, imagine Q chief naye atake kuchua kiti,.. si itakua blood shed???

Maana watu wakianza kuchukua viti vyao 😀😀 yaan sipati picha ni bllod shed kweli
 
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni..
Hili suala la kusema Diamond alisema mbeya hakuna hotel ya kulala yeye ni uongo mtupu limetengenezwa na promota mmoja wa pale Tunduma,jama alimchukua Diamond akafanya show pale Tunduma ile show promoter akala loss,ikabidi aanze kunegotiate na Ndomo wafanye tena show nyingine Mbeya mjini..Ndomo akamwambia schedule yake iko tight la sivyo amfanyie mpango wa private jet itakayompeleka na kumrudisha dar maana kulala Mbeya ingemharibia timetable yake coz siku ya show aliyopanga asubuhi yake ndomo alikuwa na safari nje..promoter kuona vile ndio akakasirika na kuleta habari za kuzusha kuwa Ndomo kasema Mbeya hakuna hotel yenye hadh yake,...
WEKENI USHAHIDI...sio mnabwabwajaq tu sijui makuni makavu live ndio nini,..
 
T.I anataka kufanya kolabo na Ali Kiba? 😂😂😂
 
Ila kwakweli maneno mengine si mazuri kabisa. Ni kama mnamnyanyapaa mwenzenu vile katokea kwenye maisha ya kimasikini.

Hizo ni safari tu za maisha, msimfanye mtu akakufuru ama kujuta kwa kosa lisilo lake.
 
Kwa taarifa yako msukuma wangu ana pesa mpaka naumwaaaaaw,hizo gari sie tunazo zaidiii,napenda mziki mengine yenu timu kiba,,uje pm nikuoneshee mme wangu alivyo handsome na pesa anayo utanitakaaaaaa,ndio masaa 24 naperuz jamii sina muda wa kuosha vyombo au kupikaaaaq

Chezea shombe shombe beiby...mna visima vya mafuta uarabuni nyiee...
Wakati nipo shule nlikuwa na rafiki shombe shombe ...Kaka yangu akawa ananambia, akitaka tutoroke nimwache atoroke nisimgeze...hata akifeli pesa wanazo...chezea visima vya Mafuta weweee.....
Ngoja wakugeze kushinda humu wafe njaaa..
 
Ukishangaa ya Kiba na TI utastaajabu ya Shilole na J lo....heheheeeeee!

Hehehe...hiyo video yao itakua ya ajabu Ti bize anachana mwanakwetu anakata mauno na kushka nanihii maana anapenda sana tna shoping zake anazozifanyia karume mbona atatuaibisha😡:
 
Chezea shombe shombe beiby...mna visima vya mafuta uarabuni nyiee...
Wakati nipo shule nlikuwa na rafiki shombe shombe ...Kaka yangu akawa ananambia, akitaka tutoroke nimwache atoroke nisimgeze...hata akifeli pesa wanazo...chezea visima vya Mafuta weweee.....
Ngoja wakugeze kushinda humu wafe njaaa..

Araaaaaaaa inaitwa iga ufe ooooh kunya kwa tembo utapasuka mkun.du
 
kumshabikia KIBA ni sawa na kuishabikia ARSENAL(ROHO MKONONI),wakati DIAMOND ni Madrid kwa bongo team ushindi
 
ina maana kama leo mbunge analala lodge ya buku hamsini oale dodoma siku akiwa raisi bado atatakiwa alale lodge ya hadhi hiyo ndo aonekane hana nyodo? umaskini ni ngozi ya ----. jitahidi uondokane nao. watu wanafanya kazi kwa bidii ili wabadilishe hali za maisha yao.
 
Hehehe...hiyo video yao itakua ya ajabu Ti bize anachana mwanakwetu anakata mauno na kushka nanihii maana anapenda sana tna shoping zake anazozifanyia karume mbona atatuaibisha😡:

Tusubirie tuonee...
 
Hahahaaa...ndo mana me sikugezi shoga angu...nawajua nyieee...

Shoga ni sheeedraaaaaaa leo nililala mapema nimeamka tena,nimekumissijee kule kwa kiba ngoja niende kuna mtu namtafutia ban akinipotezea tu ntaumiajeee
 
Shoga ni sheeedraaaaaaa leo nililala mapema nimeamka tena,nimekumissijee kule kwa kiba ngoja niende kuna mtu namtafutia ban akinipotezea tu ntaumiajeee

Hahahaaaaaa poleeee nimeshakushtukia....nitakupotezeaje sasa...
 
Back
Top Bottom