Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Diamond Jubilee ipo kabla hata mama yake Naseeb hajazaliwa, achilia mbali Diamond Motors na Diamond bank, bila kuisahau Diamond Sound wana Ikinda nkoi.Kwan kusema Diamond Karanga si mali ya chibu ni kutomtakia mema?
Wewe za kwako ziko wapi??Kwa wale wabishi, kuwa karanga zinatumia jina la Diamond sijui brand Hizi Karanga zinaitwa Diamond Karanga miaka na miaka,
wamebadilisha rangi ya packet tu na kurembesha zaidi ila jina la Diamond Karanga ni la miaka yaoote ila zinatengenezwa na kampuni ile ile ya miaka yooote
ni kwamba kusaga alinunua ubia kwenye hiko kiwanda then akamleta Diamond aje amfanyie promotion.
Na ndo maana wenye karanga zao baada ya tifu wametoa Siri kuwa Diamond ni balozi wao tu, sasa nyinyi bado mnafosi tuuuuuu.
Jamani kubalini matokeo na ukweli Kujulikana na msogee mbele zaidi. Cha maana tujifunze kutokunyali wasaniii wengine bila kuujua ukweli wa utajiri wa wasaniii wetu....
Huyu kijana anafake sana life.
HAHAHAAA kabisaà haamini,tatzo wanaongozwa na akili za mangenahic aliyepost huu uzi anaomba uwe deleted
Ok nilidhani umeona kipengele cha mkatabaLini alitamka au kuandika ni mali yake?
Mbona inajulikana kuwa anavuta pesa ndefu sana kila mwezi kufanya anayofanya..
Nilisoma mahala ni 30m tshs kwa mwezi ndio maana anayofanya hayashangazi juu ya karanga hizo. Na zinauzika sana sana.. hata jana nilijikuta nanunua liboksi lote tena..
Hata kama analipwa au ana shares.. wengine ndio inabidi kuiga mfano wa kuingiza kipato.. kuna mengi duniani
Ila mazombi ya mange kwa kweli ni mizigo na mitumwa ya kudumu.PLS DA MANGE WA JF,HIDE MY IDDiamond Jubilee ipo kabla hata mama yake Naseeb hajazaliwa, achilia mbali Diamond Motors na Diamond bank, bila kuisahau Diamond Sound wana Ikinda nkoi.
Mizuzu na misukule ya Naseeb ni hasara na mzigo kwa Taifa.
Mkuu samahani wewe profession yako ni ipi?..Yani kama umesoma ulisomea nini!?Diamond huwa anasema : amekuwa Muuza karanga, na atatoa zawadi ya ushindi ya gari au TV, kumbe karanga zenyewe sio zake, Tutakutanaje shell anipe zawadi yangu? Halafu kuna watu husema Tz kuna Tume ya kuzuia michezo ya bahati nasibu, Hivi ni kweli kama mambo yenyewe ni usanii usanii namna hii, nasikia na hii michezo ya Biko, Tatu mzuka ni usanii mtupu, Hao tume wako wapi, Biko ni hao hao clouds
Hahaaa hii mitumwa ya da mange inaapelekeshwa tu hovyo kama mizombiUmekopi na kupesti toka kwa Da Mange! Pliiz hide my ID [emoji16][emoji16]
Hahaaa eti wa kike,unakuta janaume zima linakaa ooh DA MANGE.yani unacheeka mpaka basiKwa hiyo povu la nini??
Yaani uzi wote huu ni kwamba kumtakia mabaya jamaa, dah! Iwe zake au sio zake kuna tatizo lolote?? Kuna siku yeye alisema ni zake au sio zake??
Wanaume wa kike mnaongezeka kwa kasi ya ajabu sana.