Kumbe Diamond Karanga Diamond ni balozi! Mali ni ya Joseph Kusaga

Wcb for life
Mkuu mimi sio team wcb wala nini??
Lakini sioni sababu ya kuwa na chuki kwa kijana mwenzako anayefanya jitihada za kufanikiwa.

Kuhusu biashara kuwa yake au isiwe yake hilo ni juu yake naa mikataba yake ya biashara.

Sasa inapotokea mtu analeta chuki kisa diamond kamzidi mafanikio huu tunaita ni uzwazwa na tabia za kishoga na kike
 
Wanawake si watu kwani?
 
Acha fiksi
 
Mkuu kwani yeye kua balozi hanufaiki chochote? Ufake uko wapi hapa? Unamjua mmiliki wa Bellaire? Wangapi wanaisimamia kama bidhaa yao?

Kama wamefanya ili kumkomoa nina imani huo mkataba ukiisha Diamond hatasaini mkataba mwingine na huo utakua mwanzo wa kudorora hizo karanga.
 
Zitashuka kwa sababu zipi? Zile karanga zinajiuza kwa utamu wake na siyo kwa sababu ya Naseeb.

Cocacola leo hata wakisimamisha matangazo yote huwezi kushusha soko lao.

Misukule ya wcb mna matatizo sana.
kabla ya diamond izo karanga hakuna aliyezijua wala azikuwa na wateja kabisa achen wivu wa kimama nyie wanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…