kitonsa
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 1,211
- 2,649
Hii nchi ina siri Sana, aliyekuwa kocha wa Singida Foundation Gate amelalamika kuingiliwa majukumu yake na Waziri wa Fedha, ikapeleka yeye kufanya vibaya katika kazi yake.
Mimi sipo hapa kwenye soka swali langu ni kwamba, kila timu ina mfumo wake wa uongozi, Sasa Waziri wa Fedha ndiye kiongozi mkuu wa timu?
Kama ndiye huyu Waziri mshahara wake unatosha kugharamia kuendesha timu ya ligi kuu.