OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hoja hapa anaingia kama nani? Alishakana kuhusika na hii timuWamiliki wa maduka huingia kuuza pale wanapo ona wafanyakazi wanaleta za kuleta. Nashauri mwiguku aende akafundishe wachezaji na kupanga kikosi kwa sababu anaona kocha hafanyi vile anavyotaka