Sio wapambe tu hata yeye aliwahi kukataa. Nchi haina taasisi za maana kuthibiti wezi wakubwa. Inakuwa ni utashi wa rais tu. Ni upumbavu mtupuWapambe wake walikuwa wanakataa, ila ukweli umejulikana. Na hata kwenye yale mabasi yake, ni suala tu la muda ataumbuka.
Huyu jamaa unaambiwa ananuka ukwasi! Anapata wapi hela zote hizo, hakuna anayejua! Hii nchi inatafunwa aisee!!Sio wapambe tu hata yeye aliwahi kukataa. Nchi haina taasisi za maana kuthibiti wezi wakubwa. Inakuwa ni utashi wa rais tu. Ni upumbavu mtupu
Yaani apange timu?Kweli mpira wa Tanzania una vituko!Mwenye umiliki kwann usiwe na maamuz kweny mali yako?
Usisahau kwamba yeye ni waziri wa maokotoHuyu jamaa unaambiwa ananuka ukwasi! Anapata wapi hela zote hizo, hakuna anayejua! Hii nchi inatafunwa aisee!!
Halafu unakuta kuna kima anakuambia eti ulipe kodi kwa ajili ya maendeleo!!
Mdau kivipi kwenye role ipi. Mimi ni mdau wa Simba, role yangu ni shabiki na mwanachama. Taja role ya Mwigulu kiasi cha kuhusika kwenye maamuzi ya uendeshaji?Kocha hakusema aliingiliwa majukumu na Mwigulu,alisema baada ya kikao (ambacho Mwigulu hakuwepo),baada ya maamuzi yale ndio kocha aliongea na Mwigulu kujua nini Tatizo.Halafu Mwigulu hamiliki SBS huenda ni mdau tu.Kwani Namungo inamilikiwa na nani?
Eti alisema hana Biashara hata ya BajajSio wapambe tu hata yeye aliwahi kukataa. Nchi haina taasisi za maana kuthibiti wezi wakubwa. Inakuwa ni utashi wa rais tu. Ni upumbavu mtupu
Mbona mo tajili mkubwa analalamika kuusu uendeshaji wa timu , huyu ivyo vibasi na mshahara wake uho unatosha kuendesha timu kubwa?
pesa anatoa wapi?
Hii imekuingia sio kwa mapovu hayaMbona mo tajili mkubwa analalamika kuusu uendeshaji wa timu , huyu ivyo vibasi na mshahara wake uho unatosha kuendesha timu kubwa?
pesa anatoa wapi?
Wanatia sana hasiraHuyu jamaa unaambiwa ananuka ukwasi! Anapata wapi hela zote hizo, hakuna anayejua! Hii nchi inatafunwa aisee!!
Halafu unakuta kuna kima anakuambia eti ulipe kodi kwa ajili ya maendeleo!!
Wamiliki wa maduka huingia kuuza pale wanapo ona wafanyakazi wanaleta za kuleta. Nashauri mwiguku aende akafundishe wachezaji na kupanga kikosi kwa sababu anaona kocha hafanyi vile anavyotakaMwenye umiliki kwann usiwe na maamuz kweny mali yako?
Huyu sijui kama ameelewa msingi wa hojaMbona mo tajili mkubwa analalamika kuusu uendeshaji wa timu , huyu ivyo vibasi na mshahara wake uho unatosha kuendesha timu kubwa?
pesa anatoa wapi?