Kumbe Dkt. Mwigulu Nchemba ni mtoa maamuzi Singida Foundation

Wamiliki wa maduka huingia kuuza pale wanapo ona wafanyakazi wanaleta za kuleta. Nashauri mwiguku aende akafundishe wachezaji na kupanga kikosi kwa sababu anaona kocha hafanyi vile anavyotaka
Hoja hapa anaingia kama nani? Alishakana kuhusika na hii timu
 
Kocha hakusema aliingiliwa majukumu na Mwigulu,alisema baada ya kikao (ambacho Mwigulu hakuwepo),baada ya maamuzi yale ndiokocha aliongea na Mwigulu kujua nini Tatizo.Halafu Mwigulu hamiliki SBS huenda ni mdau tu.Kwani Namungo inamilikiwa na nani?

Huyu sijui kama ameelewa msingi wa hoja
vijana wa ccm hawa, hawaelewi haraka
 
Ni ya family zao
 
Singida Foundation gate ndo timu gani wapendwa mbona mi siijui?? [emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Sio wapambe tu hata yeye aliwahi kukataa. Nchi haina taasisi za maana kuthibiti wezi wakubwa. Inakuwa ni utashi wa rais tu. Ni upumbavu mtupu
Hili liko Wazi OKWI, yaani Mtu anajulikana ndo mmiliki wa mabasi, mmiliki wa timu Mali zote zina thamani zaidi ya bil.100 Kwa mshahara wa serikali?
 
Kocha hakusema aliingiliwa majukumu na Mwigulu,alisema baada ya kikao (ambacho Mwigulu hakuwepo),baada ya maamuzi yale ndio kocha aliongea na Mwigulu kujua nini Tatizo.Halafu Mwigulu hamiliki SBS huenda ni mdau tu.Kwani Namungo inamilikiwa na nani?
Tulikuwa tunadanganywa zamani siyo Sasa.
 
Timu ina vyanzo vyake vya mapato ikiwemo viingilio, wadhamini wa timu, wadhamini wa ligi, Azam TV, kuuza wachezaji nk
 
Anayemiliki ana haki zote za kutaka timu iweje, kocha ni mfanyakazi tu. Chelsea imekuwa kuwa na mchezaji na alikuwa anapangwa kwa maelekekezo ya boss. Huwezi kufuaata maelekezo ya Boss pita... Mbona hiyo hata ulaya ipo sana.
 
Nilisha wahi kusema waziri wa fedha ndiyo kinara wa uwizi wa pesa za serikali halafu hawez kujificha Anaendesha matimu ya mpira tena kwa gharama kubwa why asifanye huko nyuma kabla ya kuwa wazir wa fedha???Hii nchi tunapelekwa wanavyotaka dah Nchemba ni mwiziiiiiiiiij
 
Duuuuu nchi masikini shida wizi mkubwaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…