Kumbe gari ya kampuni?



Kwani zile Scania zilizo agizwa na Azam ni za Azam au Bakheresa.

Ila tunacho shukuru kumbe kweli model yake ni ya 2021,asante kwa kutusaidia hilo.

Tena wameandika WASAFI LIMITED. Sio Wasafi Label wala Media na mchakato mzima wa usafirishaji umesimamiwa na Sallam ambaye meneja wake Diamond.

Tunakushukuru sana kwa hiyo document.
 
Hata kabla hiyo document sijaiona nshajua kuwa kanunua kupitia mgongo wa kampuni. Huwezi kujua hivi vitu kwa vile huna kampuni. Ukiwa na kampuni utayajua haya

Na kwa mujibu wa documents za tcra na brela alizopost baba levo kipindi fulani huko nyuma, Wasafi limited ni kampuni halali ya Mond (80%) na mama yake (20%)! Kwahiyo mmiliki ni yuleyule tu
 
 
Faida yake ni ipi ukinunua kupitia kampuni, na mm nijifunze?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…