Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanapata tabu na Mali za mtu mwengine hii ni hatari sanaaaaMara fake mara si yake yani vurugu tupu 😀😀
Kweli mwaka huu mtakunya Dagaaa
Na invoice yake imeandikwa bei gani?
Kanunue na wewe RR 4th hand,utakunya Dagaa kama utaendelea na tabia hiyo ya kuangaika na gari Ata hazikuhusuunapenda kunya sana wewe ndio jambo unalowaza usikute hata hapo unanukia harufu ya choo
Kampuni ya nani!?
wewe kufungua fungua thread huchoki kubwabwaja kila sik huchoki ndio shida ya kukaa muda mrefu bila ndoaMara gari la kampuni mara gari la babako. Hamchoki???
Hata hivyo watu wenye kampuni wananunua vitu vikubwa kupitia hizo kampuni.
Hata kabla hiyo document sijaiona nshajua kuwa kanunua kupitia mgongo wa kampuni. Huwezi kujua hivi vitu kwa vile huna kampuni. Ukiwa na kampuni utayajua haya
Na kwa mujibu wa documents za tcra na brela alizopost baba levo kipindi fulani huko nyuma, Wasafi limited ni kampuni halali ya Mond (80%) na mama yake (20%)! Kwahiyo mmiliki ni yuleyule tu
Faida yake ni ipi ukinunua kupitia kampuni, na mm nijifunze?Hata kabla hiyo document sijaiona nshajua kuwa kanunua kupitia mgongo wa kampuni. Huwezi kujua hivi vitu kwa vile huna kampuni. Ukiwa na kampuni utayajua haya
Na kwa mujibu wa documents za tcra na brela alizopost baba levo kipindi fulani huko nyuma, Wasafi limited ni kampuni halali ya Mond (80%) na mama yake (20%)! Kwahiyo mmiliki ni yuleyule tu
1.Kampuni ya Wasafi Limited ndio Yenye Wasafi TV? Au Wasafi TV ipo chini ya Kampuni nyingine?