Kheri Hansen
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 1,025
- 1,238
- Thread starter
-
- #61
Mkuu, huo upupu wa laana ulikaririshwa na dini iliyokukuza. Period.Kwa nn mpenz wako akikuchukia una mtukana una mind? Simple uchungu.
Mama anaona na kukuzaa kote , kukule kote lakin bado unamvunjia heshima yes.. out of hasira kali na laana inafuata.
Wewe uliyekamilika kwa shepu kwanini unajiuza? Au degree yako haikupi mkate wa kila siku??Mwanaume uliyekamilika huwezi kujisifia ujinga hivyo
hit n runExactly........ Wanaume wajinga hivi ndo maana wanawekewa damu ya hedhi kwenye mchuzi wanakufia huko ....maisha yanaendelea .....kanikera sana huyu bwege
Wakuu mmeamkaje,
Jana katika pitapita zangu, nikakutana na maoni ya GENTAMYCINE kwamba: Ukiona anamwambia mwanamke "Nakupenda" ujue ni kwa ajili ya kumpanga tuuu...lengo ni ku"hit & run".
Nikawaza hivi wanaume huwa tunaongea lugha moja?? maana hata mimi na wengine na wengine na wengine agenda ni hiyo hiyo "HIT & fuuucking RUN".
Wanawake wamekosea wapi? kwanini wasijifunze na kubadilika? Utetezi wao niliouona ni kwamba: "...ooooh, unajua sisi ni wapole sana, ndio maana hatuzungumzi wala kukosoa!"
Hapa JF nimewahi kuhoji: Uanamke ni ulemavu? maana ukimwambia ukweli mwanamke anawahi kusema unanionea kwasababu mm ni mwanamke. Ninachoamini: the only difference between men & women is only Biological...nje ya hapo wote ni watafutaji na waganga njaa.
[HASHTAG]#WanawakeBadilikeni[/HASHTAG] [HASHTAG]#KuumaSioDili[/HASHTAG]
mwamba duuh ila sawa cause naamini kwenye jamii hatuwezi kufanana mienendo hata siku mojaWakuu mmeamkaje,
Jana katika pitapita zangu, nikakutana na maoni ya GENTAMYCINE kwamba: Ukiona anamwambia mwanamke "Nakupenda" ujue ni kwa ajili ya kumpanga tuuu...lengo ni ku"hit & run".
Nikawaza hivi wanaume huwa tunaongea lugha moja?? maana hata mimi na wengine na wengine na wengine agenda ni hiyo hiyo "HIT & fuuucking RUN".
Wanawake wamekosea wapi? kwanini wasijifunze na kubadilika? Utetezi wao niliouona ni kwamba: "...ooooh, unajua sisi ni wapole sana, ndio maana hatuzungumzi wala kukosoa!"
Hapa JF nimewahi kuhoji: Uanamke ni ulemavu? maana ukimwambia ukweli mwanamke anawahi kusema unanionea kwasababu mm ni mwanamke. Ninachoamini: the only difference between men & women is only Biological...nje ya hapo wote ni watafutaji na waganga njaa.
[HASHTAG]#WanawakeBadilikeni[/HASHTAG] [HASHTAG]#KuumaSioDili[/HASHTAG]
Exactly........ Wanaume wajinga hivi ndo maana wanawekewa damu ya hedhi kwenye mchuzi wanakufia huko ....maisha yanaendelea .....kanikera sana huyu bwege
Ila cha ajabu wanaokufuatilia ni wanaume.Naona Wiki hii Vijana wa JamiiForums mmeamka na GENTAMYCINE kwani kwani ndani ya Siku Tatu ( 3 ) Wewe ni Mtu wa pili sasa kunianzishia Uzi. Hata hivyo nichukue tu nafasi hii kuwashukuruni kwani kwa kuzidi Kwenu kumfuatilia GENTAMYCINE kwa kila anachokifanya humu hasa ' Kimaandiko ' na kuja ' Kumjadili ' ni ' Kiashirio ' tosha kwamba hii ' Brand ID ' yangu ni Habari ya Mjini na ama hakika naitendea vyema mno ' Signature ' yangu isemayo Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer. Yaani kila Siku mnavyonijadili humu ndiyo mnazidi kunifanya niwe juu na juu zaidi kiasi kwamba sishangai kila siku napokea tu ' Notifications ' za New Followers na kwa Member wa JamiiForums ambaye nimejiunga tu mwaka 2013 lakini hadi sasa nina ' Followers ' 40 si kitu cha mchezo.
Ahsante sana Mwenyezi Mungu / Allah kwa ' Kunibariki ' na ' Vipawa ' vingi na naomba uzidi ' Kunibariki ' ili niwe juu juu zaidi.
Amen / Inshaallah.
Msemaji wa genta
Umeeleweka
What??..Ooh Lord!Exactly........ Wanaume wajinga hivi ndo maana wanawekewa damu ya hedhi kwenye mchuzi wanakufia huko ....maisha yanaendelea .....kanikera sana huyu bwege
Ila cha ajabu wanaokufuatilia ni wanaume.
Huwa najiuliza kwanini wanaume maskini wanapenda sana kujadili wanaume wenzao?
Huwa najali basi. Hawanilishi ,silali kwao.wapambane na stress zao.Hao uliowazungumzia hapa ( ukimaanisha Wanaume ) watakuja wenyewe kukujibu ila nakutahadhirisha mapema tu kwamba jiandae Kisaikolojia kwa majibu yao Kwako.
Huwa najali basi. Hawanilishi ,silali kwao.wapambane na stress zao.
Sisi wanaume matajiri huo muda wa kumjadili mwanaume hatuna ila huwa tunawaza tu jinsi ya kuongeza kipato. Kazi ya kujadili watu tumewaachia WANAUME MASKINI kama ulivyosema.Ila cha ajabu wanaokufuatilia ni wanaume.
Huwa najiuliza kwanini wanaume maskini wanapenda sana kujadili wanaume wenzao?
BrainlessWewe unadhani ni kwanini labda huwa wanapenda kupoteza muda wao adhimu Kunijadili na Kuhangaika na Mimi?
Naona Wiki hii Vijana wa JamiiForums mmeamka na GENTAMYCINE kwani kwani ndani ya Siku Tatu ( 3 ) Wewe ni Mtu wa pili sasa kunianzishia Uzi. Hata hivyo nichukue tu nafasi hii kuwashukuruni kwani kwa kuzidi Kwenu kumfuatilia GENTAMYCINE kwa kila anachokifanya humu hasa ' Kimaandiko ' na kuja ' Kumjadili ' ni ' Kiashirio ' tosha kwamba hii ' Brand ID ' yangu ni Habari ya Mjini na ama hakika naitendea vyema mno ' Signature ' yangu isemayo Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer. Yaani kila Siku mnavyonijadili humu ndiyo mnazidi kunifanya niwe juu na juu zaidi kiasi kwamba sishangai kila siku napokea tu ' Notifications ' za New Followers na kwa Member wa JamiiForums ambaye nimejiunga tu mwaka 2013 lakini hadi sasa nina ' Followers ' 40 si kitu cha mchezo.
Ahsante sana Mwenyezi Mungu / Allah kwa ' Kunibariki ' na ' Vipawa ' vingi na naomba uzidi ' Kunibariki ' ili niwe juu juu zaidi.
Amen / Inshaallah.
Utawezaje kupiga deki uku umesimama?Nilikuwa nakunywa Uji wangu wa ' Ulezi ' ila hii ' post ' yako imenifanya ' niutapike ' wote na sasa najiandaa kupiga deki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unatembea mno hebu rudi nyumbani
Aisee naona unalinda koloni lako[emoji7][emoji7][emoji7] haya twende zetu Nyumbani Babe