Wakuu mmeamkaje,
Jana katika pitapita zangu, nikakutana na maoni ya
GENTAMYCINE kwamba: Ukiona anamwambia mwanamke "Nakupenda" ujue ni kwa ajili ya kumpanga tuuu...lengo ni ku"hit & run".
Nikawaza hivi wanaume huwa tunaongea lugha moja?? maana hata mimi na wengine na wengine na wengine agenda ni hiyo hiyo "HIT & fuuucking RUN".
Wanawake wamekosea wapi? kwanini wasijifunze na kubadilika? Utetezi wao niliouona ni kwamba: "...ooooh, unajua sisi ni wapole sana, ndio maana hatuzungumzi wala kukosoa!"
Hapa JF nimewahi kuhoji: Uanamke ni ulemavu? maana ukimwambia ukweli mwanamke anawahi kusema unanionea kwasababu mm ni mwanamke. Ninachoamini: the only difference between men & women is only Biological...nje ya hapo wote ni watafutaji na waganga njaa.
[HASHTAG]#WanawakeBadilikeni[/HASHTAG] [HASHTAG]#KuumaSioDili[/HASHTAG]