Kumbe GENTAMYCINE naye ni mzee wa "Hit & Run".

Kwa nn mpenz wako akikuchukia una mtukana una mind? Simple uchungu.
Mama anaona na kukuzaa kote , kukule kote lakin bado unamvunjia heshima yes.. out of hasira kali na laana inafuata.
Mkuu, huo upupu wa laana ulikaririshwa na dini iliyokukuza. Period.
 
Wakuu mmeamkaje,

Jana katika pitapita zangu, nikakutana na maoni ya GENTAMYCINE kwamba: Ukiona anamwambia mwanamke "Nakupenda" ujue ni kwa ajili ya kumpanga tuuu...lengo ni ku"hit & run".

Nikawaza hivi wanaume huwa tunaongea lugha moja?? maana hata mimi na wengine na wengine na wengine agenda ni hiyo hiyo "HIT & fuuucking RUN".

Wanawake wamekosea wapi? kwanini wasijifunze na kubadilika? Utetezi wao niliouona ni kwamba: "...ooooh, unajua sisi ni wapole sana, ndio maana hatuzungumzi wala kukosoa!"

Hapa JF nimewahi kuhoji: Uanamke ni ulemavu? maana ukimwambia ukweli mwanamke anawahi kusema unanionea kwasababu mm ni mwanamke. Ninachoamini: the only difference between men & women is only Biological...nje ya hapo wote ni watafutaji na waganga njaa.

[HASHTAG]#WanawakeBadilikeni[/HASHTAG] [HASHTAG]#KuumaSioDili[/HASHTAG]

Naona Wiki hii Vijana wa JamiiForums mmeamka na GENTAMYCINE kwani kwani ndani ya Siku Tatu ( 3 ) Wewe ni Mtu wa pili sasa kunianzishia Uzi. Hata hivyo nichukue tu nafasi hii kuwashukuruni kwani kwa kuzidi Kwenu kumfuatilia GENTAMYCINE kwa kila anachokifanya humu hasa ' Kimaandiko ' na kuja ' Kumjadili ' ni ' Kiashirio ' tosha kwamba hii ' Brand ID ' yangu ni Habari ya Mjini na ama hakika naitendea vyema mno ' Signature ' yangu isemayo Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer. Yaani kila Siku mnavyonijadili humu ndiyo mnazidi kunifanya niwe juu na juu zaidi kiasi kwamba sishangai kila siku napokea tu ' Notifications ' za New Followers na kwa Member wa JamiiForums ambaye nimejiunga tu mwaka 2013 lakini hadi sasa nina ' Followers ' 40 si kitu cha mchezo.

Ahsante sana Mwenyezi Mungu / Allah kwa ' Kunibariki ' na ' Vipawa ' vingi na naomba uzidi ' Kunibariki ' ili niwe juu juu zaidi.

Amen / Inshaallah.
 
mwamba duuh ila sawa cause naamini kwenye jamii hatuwezi kufanana mienendo hata siku moja
 
Exactly........ Wanaume wajinga hivi ndo maana wanawekewa damu ya hedhi kwenye mchuzi wanakufia huko ....maisha yanaendelea .....kanikera sana huyu bwege

Nilikuwa nakunywa Uji wangu wa ' Ulezi ' ila hii ' post ' yako imenifanya ' niutapike ' wote na sasa najiandaa kupiga deki.
 
Naona Wiki hii Vijana wa JamiiForums mmeamka na GENTAMYCINE kwani kwani ndani ya Siku Tatu ( 3 ) Wewe ni Mtu wa pili sasa kunianzishia Uzi. Hata hivyo nichukue tu nafasi hii kuwashukuruni kwani kwa kuzidi Kwenu kumfuatilia GENTAMYCINE kwa kila anachokifanya humu hasa ' Kimaandiko ' na kuja ' Kumjadili ' ni ' Kiashirio ' tosha kwamba hii ' Brand ID ' yangu ni Habari ya Mjini na ama hakika naitendea vyema mno ' Signature ' yangu isemayo Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer. Yaani kila Siku mnavyonijadili humu ndiyo mnazidi kunifanya niwe juu na juu zaidi kiasi kwamba sishangai kila siku napokea tu ' Notifications ' za New Followers na kwa Member wa JamiiForums ambaye nimejiunga tu mwaka 2013 lakini hadi sasa nina ' Followers ' 40 si kitu cha mchezo.

Ahsante sana Mwenyezi Mungu / Allah kwa ' Kunibariki ' na ' Vipawa ' vingi na naomba uzidi ' Kunibariki ' ili niwe juu juu zaidi.

Amen / Inshaallah.
Ila cha ajabu wanaokufuatilia ni wanaume.
Huwa najiuliza kwanini wanaume maskini wanapenda sana kujadili wanaume wenzao?
 
Msemaji wa genta

Umeeleweka

' Brand ID ' kama yangu hii lazima iwe na such Spokesman au Spokeswoman kama huyo Mkuu. Yaani lengo lake Kubwa lilikuwa ni kuanzisha tu Uzi wa kuelezea tabia zake anazozipenda za ' hit and run ' ila akaona akiuanzisha hautakuwa na ' mvuto ' sana Kwenu badala yake akaangalia asafirie ' Nyota ' ya JF Member gani ' anayeuza ' kimvuto ili kuwavutieni nanyi nyote ndipo akaona amtumie GENTAMYCINE.

Nafurahi sana kuona Vijana wanavyosafiria ' Nyota ' yangu humu na kupata ' Fame ' kupita ID yangu. Ahsante Mungu!
 
Ila cha ajabu wanaokufuatilia ni wanaume.
Huwa najiuliza kwanini wanaume maskini wanapenda sana kujadili wanaume wenzao?

Hao uliowazungumzia hapa ( ukimaanisha Wanaume ) watakuja wenyewe kukujibu ila nakutahadhirisha mapema tu kwamba jiandae Kisaikolojia kwa majibu yao Kwako.

Cc: Kheri Hansen
 
Ila cha ajabu wanaokufuatilia ni wanaume.
Huwa najiuliza kwanini wanaume maskini wanapenda sana kujadili wanaume wenzao?
Sisi wanaume matajiri huo muda wa kumjadili mwanaume hatuna ila huwa tunawaza tu jinsi ya kuongeza kipato. Kazi ya kujadili watu tumewaachia WANAUME MASKINI kama ulivyosema.

I really appreciate you, though sikujui.
 
Halafu wanaume ndio wana hizo mambo za kukufatilia sijui tuwaelewe vipi

Back
Top Bottom