Kumbe Hayati Magufuli ilibaki kidogo kumshtaki Karamagi mahakamani?

Kumbukeni gesi iliyopo Mtwara Tanzania si ya Watanzania.[emoji29][emoji29][emoji29][emoji2827]
 
Kwa nini asinge anza na yeye mwenyewe kwa ufisadi wa kugawa nyumba za serikali kwa Sundi (hawara yake) na kwa Musa (mdogo wake) kama kweli alikuwa serious!
 
Kwani nani alikwamisha ule mchakato!?
 

si alishasema mtamkumbuka sku akiondoka
 
Anajiona mjanja Kwa nadharia zake zisizo na kichwa wala miguu!

Wanateseka sana hawa chato gang! Wanafikiri kuendeleza chuki dhidi ya Samia na Kikwete sijui ndo kutamfufua mpuuzi wao?😂😂😂
Kwamwambie jambazi arejeshe gesi yetu ya Mtwara kwanza simbilizi we
 
hoja hujibiwa kwa hoja..
mambo ya kusema ooh maelezo yamekaa kishabiki sana hiyo ni siasa..
 
Kumbukeni gesi iliyopo Mtwara Tanzania si ya Watanzania.[emoji29][emoji29][emoji29][emoji2827]
Tupe ushahidi kuwa sio ya Watanzania?

Alafu kama sio ya Watanzania kwa nini haya makampuni sasa yanafanya mazungumzo na serikali ya Tanzania ili kuwekeza kiwanda cha kuchakata Gesi? Kama sio ya kwetu si wangeenda tu kufanya mazungumzo na hao ambao ni ya kwao na sio serikali yetu?
 
hoja hujibiwa kwa hoja..
mambo ya kusema ooh maelezo yamekaa kishabiki sana hiyo ni siasa..
Bro hizi ni consipiryacies hiyo iko wazi kabisa na wala hii sio hoja ( opinion ) nakuomba usome kwa makini utaelewa. Mimi sijasema kama ni uongo ila makala ina bias inaonesha kumtukuza flani na kumchafua flani. Nakuambie tu ufahamu kuwa kuna makala zimekaa kiochochezi pale nchi inapopita kwenye changamoto na tatizo lingine tulilonalo watu wanaandika tu vitu hakuna supportive documents kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika. Usipelekwe na upepo wa majungu weka kwanza kwenye ufahamu wako
 
Pilato hakuwa na roho mbaya,alikua hakimu tu,alipelekewa mmtuhumiwa akahukumu Kama Sheria zilivyotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…