Kumbe Hayati Magufuli ilibaki kidogo kumshtaki Karamagi mahakamani?

Hii tunu ndo inayotutia vidole watanzania tunaonekana wengine fisi na wengine sungura ,siku zote fisi ni mjinga na sungura yeye ni mjanja sasa ipo siku isiyokuwa na jina.
 
Mkuu hujaielewa vizuri hoja ya mleta mada! Ukisoma mistari ya chini hapo kuna statement inasema, aliitwa hadi aliyekuwa jaji mkuu wa wakati huo ili kutoa ushauri naye akashauri kesi isifunguliwe! Hapo ni kwamba jaji mwenyewe alijiridhisha kuwa kama kesi hiyo ingefunguliwa basi mkono wa sheria usingeiacha salama mamlaka ya uteuzi wa Karamagi!
Mfano hata wewe kama uliua mtu mwaka 2010, ukaja kukamatwa leo na katika utetezi ukaja kumtaja alokutuma au mliyeshirikiana nae kufanya hivyo, sheria haitamuacha salama!
Hivyo kama hayo ni ya kweli basi kesi hii ilizimwa kuepusha shari kwani ni lazma wangeguswa watu nyeti!
 
Ndo mana kila siku mnaua vikongwe huko kwenu kwa kuwatuhumu wachawi kwa sababu tu wana macho mekundu na hamna ushahidi

Nyie watu washamba sana Kwa kweli! Tangu lini Corona iliwavumilia walioiletea dharau?

Kamuulize Nkurunziza
We mbona hujafa swine
 
Unaelewa maana ya 'where we dare to talk openly?'
 
Si kweli JPM hakuwa dhaifu kiasi hicho akiamua lake lazima liwe hata ashauriwe na nani katu habadiriki.
 
Hii tunu ndo inayotutia vidole watanzania tunaonekana wengine fisi na wengine sungura ,siku zote fisi ni mjinga na sungura yeye ni mjanja sasa ipo siku isiyokuwa na jina.
Kijana punguza hasira ukizidiwa kunywa maji utulize moyo wako. Usipige ramli za vitisho wakati hujawahi hata kusikia mlio wa mzinga, kama una nia njema na taifa lako toa maoni majukwaa yapo mengi sana watu watakusoma, andika vitabu vya comic kuelimisha watu hata viongozi wajifunze kutenda haki na uzalendo lakini kuoneza chuki tutalibomoa taifa letu vipandevipande
 
Nakumbuka dege liliungurumishwa usiku wa manane kwenda kufanya bargain na kiongozi wa juu wa china, kulikuwa na mawili kuingia mkataba wa kinyonyaji hasa huu wa gesi ama prince anyongwe hadharani.

Hii nchi ilichezewa mno wakati wa awamu ya tano.
Kama mna ubavu wafungulieni kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha. Hakuna haja ya kulia lia humu.
 
Unaelewa maana ya 'where we dare to talk openly?'
Naelewa vizuri sana lakini haimanishi kila kinachosemwa ni ukweli, we don't have to believe in every thing we hear until we prove them to be worthwhile. Kuna makala you must read between the lines zingine zinakuwa kimajungu kwa sababu ni kitu tunapenda
 
Acha libomoke
 
Mwacheni mpendwa JPM apumzike kwa amani na mwacheni mzee wetu, JK aendelee kufurahia maisha ya kustaafu kwake.

Hii tabia ya kuonyesha Mzee Kikwete hakuwa na uhusiano mzuri na Hayati JPM mliifanya na bado mnaifanya licha ya kwamba mmoja hayupo ktk uso wa dunia. Kibaya zaidi ni stories tu za vijiweni zisizo na uthibitisho. Hii ni tabia mbaya na haipendezi kabisa.
 
Sukuma gang mnaunga unga tu story,mkapa alitajwa na balozi mahalu kuhusu nyumba ya ubalozi italy so cha ajabu ni kipi rais ana kinga ujue
 
Natural death iliyotabiriwa na Lema, Nape, Lissu, hata hapa jf watu walisema mapema kuwa lazima afe!
 
Wakati mtawala fulani anafanya atakayo, kutenza nguvu, kuonea, kugawa vibaya keki ya taifa na mengine mabaya zaidi ya hayo; Tuliambiwa tukae kimya tumuache anyooshe nchi! kanyoosha katuachia deni la matrilioni na uchumi ulioparaganyika na vitumbo vya usaha!
Sasa naona hamtaki kutunza hiyo principle, mnatulazimisha tufunguke ya awamu ya tano! Amini hapatakalika hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…