Yesu alidumu miaka mingapi ?? Wakati pilato roho mbaya alidumu mpaka mitume waliofata baada Yesu kufa aliwasulubu na kuwafunga. Hii dunia ukipigania haki lazima ufe mapema.kama jabali sasa angepambania aishi milele, watu wenye roho mbaya huwa hawadumu ktk dunia
Martin Luther jr.
Abraham Lincoln
J .F Kennedy.
Wengine simalizii waliotaka kubadili maisha ya watu wakafa.