Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Mikono yake ina damu zinamliliaaaMakonda ni mchapa kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikono yake ina damu zinamliliaaaMakonda ni mchapa kazi
Ushahidi tafadhaliMikono yake ina damu zinamliliaaa
Hakika sanaUchapa kazi wake ndo unamfanya huyu mvivu alale na viatu, maana itakuwa ngumu kumpitisha.
Si kasema halipiz kisasiKazi imeanza sasa. Baada ya Makonda kuwa muenezi wa CCM basi tutasikia mambo mengi kumuhusu yeye [emoji23][emoji23]
Shauri yake, maana watu tulimshauri kabla hata mama hajamteuwa Makonda, lkn yeye akajifanya kuweka masikio pamba.Nasikia hana hamu na Mama Samia [emoji1787]. Anasema yote kayaleta Samia. Kweli Makonda ni kiboko ya wabunge janjajanja wote.
Watu washachoka na ahadi za uongo.Jimbo la Kawe linamuhitaji Makonda zaidi ya yeye anavyotuhitaji. Lazima tumshawishi aje kugombea ubunge huku.
... Kutoka kwa mtu wake wa karibu kiroho na kisiasa.,,,,,,,,inasemekana,,,,,,,,
... Kutoka kwa mtu wake wa karibu kiroho na kisiasa.Inasemekana......
Kama zinavyomlilia yule aliekatisha maisha ya ChaCha Wangwe, kwa sababu ya madaraka ya kisiasa tu, na kusababisha watoto wake leo hii kuishi bila baba yao.Mikono yake ina damu zinamliliaaa
Swali zuri.Ushahidi tafadhali
Sasa hivi mteremko umekwisha. Kila mtu apambanie mechi yake 😂😂Gwaji boy akiingia umu kusoma ulichoandika lazima j'pili atumie nusu ya muda wake wa mahubiri yake kujipigia debe eti kwa kaz nzur anayofanya kwa jimbo lenu
"Aroo ndugu zangu wana kawe ebu nireteeni gwajima apa mbere" 😄😄
Ungepata ushauri wa namna nzuri ya kuweka heading yako. Kiufupi haieleweki. Kama Kuna mtu alimdhalilisha Makonda ni Askofu Gwajima. Nani angejua hata jina alilonalo siyo lake!! Cheza na Gwajima wewe!! Makonda Amelia miguuni pa wachungaji sababu ya Gwajima tena na Magu akiwepo mpaka wakabuni igizo la kihuni kupitia cloud kwenye kipindi chao cha Shilawadu ambalo lilimtia aibu mpaka JPM mwenyewe japo alimkingia kifua ukweli unabaki ilikuwa aibu kubwa sana kwa Rais wa nchi kuhusishwa na ule uhuni.Habari zenu wanaJF wenzangu,
Aisee sikutegemea kama ishu ya kuteuliwa kijana Paul Christian Makonda huko CCM imewaumiza, imewakera, imewapagawisha, imewachukiza na kuwafurahisha watu tofauti tofauti na wenye heshima mbali mbali nchini.
Kati ya watu ambao inasemekana kuwa walipagawa na kuchanganyikiwa kwa kuchaguliwa kwa Makonda basi ni kaka yetu, kiongozi wetu wa kiroho na mbunge wetu wa Kawe mh askofu Gwajima.
Inasemekana kuwa kurudishwa kwa Makonda katika nafasi kubwa, na ya ushawishi kichama kimeonekana kuua ndoto yake kabisa ya kuendelea kulifanya Jimbo letu shamba lake la bibi just kwa kupokea mamilioni ya mshahara wa bunge bila kujishughulisha na tatizo au kero yoyote ile iliyopo Jimboni kwetu.
Ikumbukwe kwamba Makonda ashawahi kuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni kabla ya kupandishwa cheo na kuwa mkuu wa mkoa mzima wa Dar es salaam. Hivyo anaijua vizuri Kawe na changamoto zake. Maeneo mengi ambayo leo hii yana barabara na miundombinu mizuri jimboni hapa, yalitokana na juhudi za kijana huyo alipokuwa mkuu wa wilaya hii, hivyo kama ataamua kugombea ubunge katika Jimbo hili, basi atakuwa na kazi ya kumalizia changamoto kadhaa zilizobakia, ambazo kwa sasa hakuna mbunge, mkuu wa wilaya wala diwani anaeshughulika nazo.
Inasemekana hata mwaka 2020, alikuwa na lengo la kugombea Jimbo la Kawe, lkn alibadilisha mawazo yake na kukimbilia Kigamboni baada kujua kwamba mwenyekiti wa chama chake wakati huo alikuwa ashamuandaa askofu agombee hapo, hivyo kama Makonda angethubutu kugombea Kawe ni lazima angekatwa tu kama ilivyotokea kwa brother Pascal Mayalla . Hivyo ili kuepusha hayo ikabidi ajitahidi kwenda Kigamboni ambapo alieshindwa katika kura za maoni.
Inasemekana kwamba kabla ya uteuzi wa Makonda, ndugu Gwajima alikuwa ana relax tu ofisini akijua kwamba hakuna kiongozi yoyote mwenye uthubutu wa kugombea katika Jimbo analoliongoza, na ukizingatia alikuwa anajua kwamba Paul Makonda alikuwa tena si lolote wala chochote chamani.
So uteuzi umemshtua na kuanza kufikiria kwamba ikiwa Makonda atahitaji au kuhitajika kugombea yeye atakuwa na mbinu gani ya kumzuia (Makonda) kushinda katika kura za maoni na akizingatia mtu ambae alimbeba kipindi kile hayupo, alaf huyu mwenye rungu wa sasa (mwenyekiti) sio mtu wa kubebana hovyo hovyo.
Presha imempanda zaidi baada ya kusikia kwamba kuna wazee kutoka jimboni Kawe, pamoja na vijana mbali mbali wanapanga namna watakavyomshawishi Makonda aje kugombea hiyo 2025, ili kumng'oa ndugu Gwajima ambae haoneshi kabisa kuguswa na changamoto mbali mbali zilizopo jimboni.
Kwa niaba ya mtonyaji wangu ambae ni mtu wa karibu kabisa na mbunge kiroho, na kisiasa. Anasema kuwa mbunge huyo sasa hivi hana furaha hata kidogo.
Maana inaonekana kijana hapo uenezi kawekwa kwa muda tu, lkn baadae atasogezwa mbele na kuwa na nafasi kubwa ya kuweza kugombea au kuteuliwa nafasi yoyote ya kichama au kitaifa.
Asanteni.
😁😁😁😁👍👍kuua ndoto yake kabisa ya kuendelea kulifanya Jimbo letu shamba lake la bibi
Sawa sawa mkuu, ngoja tuone huko mbele hali itakuaje .Ungepata ushauri wa namna nzuri ya kuweka heading yako. Kiufupi haieleweki. Kama Kuna mtu alimdhalilisha Makonda ni Askofu Gwajima. Nani angejua hata jina alilonalo siyo lake!! Cheza na Gwajima wewe!! Makonda Amelia miguuni pa wachungaji sababu ya Gwajima tena na Magu akiwepo mpaka wakabuni igizo la kihuni kupitia cloud kwenye kipindi chao cha Shilawadu ambalo lilimtia aibu mpaka JPM mwenyewe japo alimkingia kifua ukweli unabaki ilikuwa aibu kubwa sana kwa Rais wa nchi kuhusishwa na ule uhuni.
KabisaMsichamganye dini na siasa🤣😂🤣😂
😂😂😂🙌😁😁😁😁👍👍