LimekorogekaNasikia hana hamu na Mama Samia [emoji1787]. Anasema yote kayaleta Samia. Kweli Makonda ni kiboko ya wabunge janjajanja wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LimekorogekaNasikia hana hamu na Mama Samia [emoji1787]. Anasema yote kayaleta Samia. Kweli Makonda ni kiboko ya wabunge janjajanja wote.
Siwachonganishi, bali naongea uhalisia wa kinachoendelea mkuu.Acha kutuchonganisha wana CCM
Gwajima mwenyewe anajijua kuwa 2025 hatakuwa mbunge tena na kwamba alipata ubunge kwasababu tu aligombea kipindi cha magufuli, kipindi kile ukiwa ccm tu ulikuwa na uhakika kushinda hata watu wakikukataa. analijua hilo na ndio maana hata askofu wake wa KIbaha mchungaji Max, anagombana na serikali na yeye wala hamshughulikii as if anamtua amfanye vile. haujasoma picha tu?Habari zenu wanaJF wenzangu,
Aisee sikutegemea kama ishu ya kuteuliwa kijana Paul Christian Makonda huko CCM imewaumiza, imewakera, imewapagawisha, imewachukiza na kuwafurahisha watu tofauti tofauti na wenye heshima mbali mbali nchini.
Kati ya watu ambao inasemekana kuwa walipagawa na kuchanganyikiwa kwa kuchaguliwa kwa Makonda basi ni kaka yetu, kiongozi wetu wa kiroho na mbunge wetu wa Kawe mh askofu Gwajima.
Inasemekana kuwa kurudishwa kwa Makonda katika nafasi kubwa, na ya ushawishi kichama kimeonekana kuua ndoto yake kabisa ya kuendelea kulifanya Jimbo letu shamba lake la bibi just kwa kupokea mamilioni ya mshahara wa bunge bila kujishughulisha na tatizo au kero yoyote ile iliyopo Jimboni kwetu.
Ikumbukwe kwamba Makonda ashawahi kuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni kabla ya kupandishwa cheo na kuwa mkuu wa mkoa mzima wa Dar es salaam. Hivyo anaijua vizuri Kawe na changamoto zake. Maeneo mengi ambayo leo hii yana barabara na miundombinu mizuri jimboni hapa, yalitokana na juhudi za kijana huyo alipokuwa mkuu wa wilaya hii, hivyo kama ataamua kugombea ubunge katika Jimbo hili, basi atakuwa na kazi ya kumalizia changamoto kadhaa zilizobakia, ambazo kwa sasa hakuna mbunge, mkuu wa wilaya wala diwani anaeshughulika nazo.
Inasemekana hata mwaka 2020, alikuwa na lengo la kugombea Jimbo la Kawe, lkn alibadilisha mawazo yake na kukimbilia Kigamboni baada kujua kwamba mwenyekiti wa chama chake wakati huo alikuwa ashamuandaa askofu agombee hapo, hivyo kama Makonda angethubutu kugombea Kawe ni lazima angekatwa tu kama ilivyotokea kwa brother Pascal Mayalla . Hivyo ili kuepusha hayo ikabidi ajitahidi kwenda Kigamboni ambapo alieshindwa katika kura za maoni.
Inasemekana kwamba kabla ya uteuzi wa Makonda, ndugu Gwajima alikuwa ana relax tu ofisini akijua kwamba hakuna kiongozi yoyote mwenye uthubutu wa kugombea katika Jimbo analoliongoza, na ukizingatia alikuwa anajua kwamba Paul Makonda alikuwa tena si lolote wala chochote chamani.
So uteuzi umemshtua na kuanza kufikiria kwamba ikiwa Makonda atahitaji au kuhitajika kugombea yeye atakuwa na mbinu gani ya kumzuia (Makonda) kushinda katika kura za maoni na akizingatia mtu ambae alimbeba kipindi kile hayupo, alaf huyu mwenye rungu wa sasa (mwenyekiti) sio mtu wa kubebana hovyo hovyo.
Presha imempanda zaidi baada ya kusikia kwamba kuna wazee kutoka jimboni Kawe, pamoja na vijana mbali mbali wanapanga namna watakavyomshawishi Makonda aje kugombea hiyo 2025, ili kumng'oa ndugu Gwajima ambae haoneshi kabisa kuguswa na changamoto mbali mbali zilizopo jimboni.
Kwa niaba ya mtonyaji wangu ambae ni mtu wa karibu kabisa na mbunge kiroho, na kisiasa. Anasema kuwa mbunge huyo sasa hivi hana furaha hata kidogo.
Maana inaonekana kijana hapo uenezi kawekwa kwa muda tu, lkn baadae atasogezwa mbele na kuwa na nafasi kubwa ya kuweza kugombea au kuteuliwa nafasi yoyote ya kichama au kitaifa.
Asanteni.
Yes he's the one i'm talking aboutUnamsema Askofu Chidi yule porn star aliyevunja ndoa ya yule Dada Mwimbaji wa Gospel mjukuu wa Askofu Moses Kulola?
Na Gwajiboy bila Magufuli, kamwe asingekuwa mbunge wetu.makonda bila magufuli ni sawa na tairi bila upepo
Hawa walishamalizana toka kitambo, pia tusisahau wote ni ccm, ngoja ufike uchaguzi uone, wanakuwa na nia mojaNi hopeless tu anaamini Gwajima atamuogopa Makonda. Gwajima alimpasua Makonda mbele ya Magufuli itakuwa sasa!
Kweli kbs mkuu.Siasa ndivyo zilivyo...
Ya ngoja tuone itakavyokuwa mkuu... 😀😀Mambo hayapo hivyo,wewe ndio umeamua kumpagawisha jabali la operation thunderstorms,
Lakini nasikia huyo jamaa ni next level yaani eti miungu wakuu wanaishi ndani yake yaani miungu ya manabii kama musa, solomon,Ayub n k inakaa ndani mwake!!
Ngoja tuone!!
Kumbuka alisema cheo chake ni kikubwa kuliko hata RaisInasemekana kwamba kabla ya uteuzi wa Makonda, ndugu Gwajima alikuwa ana relax tu ofisini akijua kwamba hakuna kiongozi yoyote mwenye uthubutu wa kugombea katika Jimbo analoliongoza, na ukizingatia alikuwa anajua kwamba Paul Makonda alikuwa tena si lolote wala chochote chamani.
So uteuzi umemshtua na kuanza kufikiria kwamba ikiwa Makonda atahitaji au kuhitajika kugombea yeye atakuwa na mbinu gani ya kumzuia (Makonda) kushinda katika kura za maoni na akizingatia mtu ambae alimbeba kipindi kile hayupo, alaf huyu mwenye rungu wa sasa (mwenyekiti) sio mtu wa kubebana hovyo hovyo.
Naitafuta ile video siipati ila imo youtubeKumbuka alisema cheo chake ni kikubwa kuliko hata Rais
Kazi ya mdomo ni kuongea. Hivyo ukiwa na mdomo, unaweza kuongea chochote hata ukijiita mungu hakuna atakae uzuia mdomo wako 😀😀Kumbuka alisema cheo chake ni kikubwa kuliko hata Rais
Ni hatari san. Kuna kipindi alijifanyaga yupo juu ya mamlaka hadi akaitwa bungeni.Naitafuta ile video siipati ila imo youtube
Alimpasua kupitia membari za dini ambapo huko Gwajima akisimama hufananishwa na mungu.
Ila sasa wote wapo siasani, hivyo let's wait to see what's gonna happen mkuu.
🤣Ni hatari san. Kuna kipindi alijifanyaga yupo juu ya mamlaka hadi akaitwa bungeni.
Siku 1 raisi alipitia jimboni kwake kuwasalimia wapiga kura, ile kuonana face2face na raisi akanywea kama chumvi inapodumbukizwa kwenye glass ya maji.
Acha tusubiri mkuuSasa hivi mteremko umekwisha. Kila mtu apambanie mechi yake 😂😂
Kwani hiyo kofia ya Udini/Uaskofu Gwajima hana tena?Alimpasua kupitia membari za dini ambapo huko Gwajima akisimama hufananishwa na mungu.
Ila sasa wote wapo siasani, hivyo let's wait to see what's gonna happen mkuu.
Hii siku kichaa kilimpanda"Nileteeni Gwajima, nileteeni Gwajima, nileteeni Gwajima" sauti ikisikika kutoka jukwaani [emoji38]
Anayo lkn kwa vile tayar ashajichanganya na siasa, basi nguvu zake zimepungua sana.Kwani hiyo kofia ya Udini/Uaskofu Gwajima hana tena?