Kumbe ishu ya Makonda imemlaza Gwajima na viatu

Ungepata ushauri wa namna nzuri ya kuweka heading yako. Kiufupi haieleweki. Kama Kuna mtu alimdhalilisha Makonda ni Askofu Gwajima. Nani angejua hata jina alilonalo siyo lake!! Cheza na Gwajima wewe!! Makonda Amelia miguuni pa wachungaji sababu ya Gwajima tena na Magu akiwepo mpaka wakabuni igizo la kihuni kupitia cloud kwenye kipindi chao cha Shilawadu ambalo lilimtia aibu mpaka JPM mwenyewe japo alimkingia kifua ukweli unabaki ilikuwa aibu kubwa sana kwa Rais wa nchi kuhusishwa na ule uhuni.
Daaa Ila kweli gwajiboy alikua kiboko Sana Mpaka alisababisha makonda kulia hadharani alikua noma
 
Exactly Bro...Acha nyasi ziumane yajayo ni kunoga!!
Wote ni waongeaji wazuri. Tofauti mmoja kabobea zaidi kwenye siasa kutokana na kuingia siasani muda mrefu, na mungine kabobea zaidi kwenye imani hivyo ana kundi la wanaomkubali na kumuamini kwa kila atachosema.
 
Sawa kabisa uko sahihi. Ila Makonda approach yake mi naiita Rough na ndio Gap lililokuwepo.
 
Wote ni waongeaji wazuri. Tofauti mmoja kabobea zaidi kwenye siasa kutokana na kuingia siasani muda mrefu, na mungine kabobea zaidi kwenye imani hivyo ana kundi la wanaomkubali na kumuamini kwa kila atachosema.
Kumbe Makonda kaingia kwenye siasa muda mrefu!!
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Aisee sikutegemea kama ishu ya kuteuliwa kijana Paul Christian Makonda huko CCM imewaumiza, imewakera, imewapagawisha, imewachukiza na kuwafurahisha watu tofauti tofauti na wenye heshima mbali mbali nchini.

Kati ya watu ambao inasemekana kuwa walipagawa na kuchanganyikiwa kwa kuchaguliwa kwa Makonda basi ni kaka yetu, kiongozi wetu wa kiroho na mbunge wetu wa Kawe mh askofu Gwajima.

Inasemekana kuwa kurudishwa kwa Makonda katika nafasi kubwa, na ya ushawishi kichama kimeonekana kuua ndoto yake kabisa ya kuendelea kulifanya Jimbo letu shamba lake la bibi just kwa kupokea mamilioni ya mshahara wa bunge bila kujishughulisha na tatizo au kero yoyote ile iliyopo Jimboni kwetu.

Ikumbukwe kwamba Makonda ashawahi kuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni kabla ya kupandishwa cheo na kuwa mkuu wa mkoa mzima wa Dar es salaam. Hivyo anaijua vizuri Kawe na changamoto zake. Maeneo mengi ambayo leo hii yana barabara na miundombinu mizuri jimboni hapa, yalitokana na juhudi za kijana huyo alipokuwa mkuu wa wilaya hii, hivyo kama ataamua kugombea ubunge katika Jimbo hili, basi atakuwa na kazi ya kumalizia changamoto kadhaa zilizobakia, ambazo kwa sasa hakuna mbunge, mkuu wa wilaya wala diwani anaeshughulika nazo.

Inasemekana hata mwaka 2020, alikuwa na lengo la kugombea Jimbo la Kawe, lkn alibadilisha mawazo yake na kukimbilia Kigamboni baada kujua kwamba mwenyekiti wa chama chake wakati huo alikuwa ashamuandaa askofu agombee hapo, hivyo kama Makonda angethubutu kugombea Kawe ni lazima angekatwa tu kama ilivyotokea kwa brother Pascal Mayalla . Hivyo ili kuepusha hayo ikabidi ajitahidi kwenda Kigamboni ambapo alieshindwa katika kura za maoni.

Inasemekana kwamba kabla ya uteuzi wa Makonda, ndugu Gwajima alikuwa ana relax tu ofisini akijua kwamba hakuna kiongozi yoyote mwenye uthubutu wa kugombea katika Jimbo analoliongoza, na ukizingatia alikuwa anajua kwamba Paul Makonda alikuwa tena si lolote wala chochote chamani.

So uteuzi umemshtua na kuanza kufikiria kwamba ikiwa Makonda atahitaji au kuhitajika kugombea yeye atakuwa na mbinu gani ya kumzuia (Makonda) kushinda katika kura za maoni na akizingatia mtu ambae alimbeba kipindi kile hayupo, alaf huyu mwenye rungu wa sasa (mwenyekiti) sio mtu wa kubebana hovyo hovyo.

Presha imempanda zaidi baada ya kusikia kwamba kuna wazee kutoka jimboni Kawe, pamoja na vijana mbali mbali wanapanga namna watakavyomshawishi Makonda aje kugombea hiyo 2025, ili kumng'oa ndugu Gwajima ambae haoneshi kabisa kuguswa na changamoto mbali mbali zilizopo jimboni.

Kwa niaba ya mtonyaji wangu ambae ni mtu wa karibu kabisa na mbunge kiroho, na kisiasa. Anasema kuwa mbunge huyo sasa hivi hana furaha hata kidogo.

Maana inaonekana kijana hapo uenezi kawekwa kwa muda tu, lkn baadae atasogezwa mbele na kuwa na nafasi kubwa ya kuweza kugombea au kuteuliwa nafasi yoyote ya kichama au kitaifa.

Asanteni.
Unamsema Askofu Chidi yule porn star aliyevunja ndoa ya yule Dada Mwimbaji wa Gospel mjukuu wa Askofu Moses Kulola?
 
Acha kutuchonganisha wana CCM
 
Back
Top Bottom