Kumbe ishu ya Makonda imemlaza Gwajima na viatu

Gwajima mwenyewe anajijua kuwa 2025 hatakuwa mbunge tena na kwamba alipata ubunge kwasababu tu aligombea kipindi cha magufuli, kipindi kile ukiwa ccm tu ulikuwa na uhakika kushinda hata watu wakikukataa. analijua hilo na ndio maana hata askofu wake wa KIbaha mchungaji Max, anagombana na serikali na yeye wala hamshughulikii as if anamtua amfanye vile. haujasoma picha tu?
 
Ni hopeless tu anaamini Gwajima atamuogopa Makonda. Gwajima alimpasua Makonda mbele ya Magufuli itakuwa sasa!
Hawa walishamalizana toka kitambo, pia tusisahau wote ni ccm, ngoja ufike uchaguzi uone, wanakuwa na nia moja
 
Mambo hayapo hivyo,wewe ndio umeamua kumpagawisha jabali la operation thunderstorms,

Lakini nasikia huyo jamaa ni next level yaani eti miungu wakuu wanaishi ndani yake yaani miungu ya manabii kama musa, solomon,Ayub n k inakaa ndani mwake!!

Ngoja tuone!!
 
Ya ngoja tuone itakavyokuwa mkuu... πŸ˜€πŸ˜€
 
Kumbuka alisema cheo chake ni kikubwa kuliko hata Rais
 
Kumbuka alisema cheo chake ni kikubwa kuliko hata Rais
Kazi ya mdomo ni kuongea. Hivyo ukiwa na mdomo, unaweza kuongea chochote hata ukijiita mungu hakuna atakae uzuia mdomo wako πŸ˜€πŸ˜€
 
Naitafuta ile video siipati ila imo youtube
Ni hatari san. Kuna kipindi alijifanyaga yupo juu ya mamlaka hadi akaitwa bungeni.

Siku 1 raisi alipitia jimboni kwake kuwasalimia wapiga kura, ile kuonana face2face na raisi akanywea kama chumvi inapodumbukizwa kwenye glass ya maji.
 
Ni hatari san. Kuna kipindi alijifanyaga yupo juu ya mamlaka hadi akaitwa bungeni.

Siku 1 raisi alipitia jimboni kwake kuwasalimia wapiga kura, ile kuonana face2face na raisi akanywea kama chumvi inapodumbukizwa kwenye glass ya maji.
🀣
 
Kwani hiyo kofia ya Udini/Uaskofu Gwajima hana tena?
Anayo lkn kwa vile tayar ashajichanganya na siasa, basi nguvu zake zimepungua sana.

Kipindi kile alipata nguvu kupitia kanisa na lile kundi la vijana wa chama fulan ambao hawakuwa wanampenda Makonda wala chama chake.

Lakini kwa vile jamaa sasa hivi ni chama cha Makonda basi utasikia wale vijana waliochangia kumuunga mkono kipindi kile wanasema "hao wote ni CCM, hivyo watajuana wenyewe".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…