Kumbe Khalfan Bwire na wenzake ndio walikuwa Walinzi wa Tundu Lissu wakati anaingia Tanzania Julai 28, 2020?

Uongo mwingine bwana, hawa jamaa walikamatwa hata kabla kampeni hazijaanza, sasa inakuwa aje unasema kuwa ndio walikuwa wanamlinda lissu, Alafu Uwe ukawa unachukua Ex soldier ukawa unawatumia hata km ni Amerika watakuhis vibaya sana kwanza especially Wale waliofukuzwa jeshini maana itaonekana unatengeneza kikundi cha uasi. Nchi nyingine hata kesi hamna ni inapigwa risas pamoja na ex soldier wako woote
 
Kwa kosa gani? X soldiers ndio wamejaa kwenye makampuni binafai ya ulinzi na hata ya kukodi huko ulimwenguni. Licha ya hapo hapa tanzania tu sio kosa. Na watu wengi wanafanya hivyo. Tunashangaa kwa nini kwa Mbowe tu??
 
Elimu elimu elimu.
 
Mamlaka pekee ya kumdhuru Lissu ni moja nayo ni jeshi. Serikali haiwezi, Bunge haliwezi, na mahakama haiwezi. Ndio maana ninyi Maccm mnatumia dola kubaki madarakani. Ndio maana kitu pekee kinachoweza kuiondoa ccm kufumba na kufumbua ni jeshi. Sio Mamlaka zinginezo.
Tumia akili zaidi ya hapo dada Samu
 
Acha uongo Hawa Kumbuka Lissu alikuja mwezi wa nane 2020.je hawa Jamaa walikamatwa lini?
 
Mbona hakukimbia kabla ya uchaguzi?
Baada ya kumaliza uchaguzi hakua na kazi ya kufanya tanzania hivyo akaona aondoke tu.
 
Kwa hiyo utafutiwe watu siku mbili tuu hata ujawajua vizuri uwape kazi ya kukulinda Kelli. Kwann mnadanganya watu hivi?? Au unaona watu woote wanaakili za kitoto, hawa makomandoo mpaka kufika July, 24 2020 walikuwa hawajaenda kwa Mbowe, lissu alikuja July 17, 2020. Yaan ndio walinzi wanakuaga recruited. Acha kutudanganya
 
Ebu tusaidie mkuu, sisi hatujui walinzi wanavyokuwa recruited. Ninyi huwa mnafanyaje? Au Chadema walitakiwa wafanyeje? Sheria inasemaje kwenye kutafuta ulinzi binafsi?
 
Kwa hiyo utafutiwe watu siku mbili tuu hata ujawajua vizuri uwape kazi ya kukulinda Kelli. Kwann mnadanganya watu hivi?? ...
... ni kipi kina-make sense zaidi;

(1) kuwapa watu kazi ya KUKULINDA, watu ambao umefahamiana nao kwa siku mbili (kama unavyodai wewe) ila ulitafutiwa na uliyeamini kwamba ni rafiki yako mliyefahamiana kwa muda mrefu?
AU
(2) kuwapa watu kazi ya kufanya UGAIDI, watu ambao umefahamiana nao kwa siku mbili (kama unavyodai wewe) ila ulitafutiwa na uliyeamini kwamba ni rafiki yako mliyefahamiana kwa muda mrefu?

Kwako kati ya hayo mawili lipi ni sensible zaidi?
 

Hapo ndo umefikiria nje ya siasa.!
 
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
 
Tundu Lissu alirejea tarehe 27 July 2020. Hao Makomandoo wamekamatwa mwezi wa nane.
Ni sahihi walikuwepo kumpokea Tindu Lissu AirPort tarehe 27 July.

Hakuna ubaya wowote kutukua ex soldiers kwa shughuli za ulinzi. In fact wanatumika hivyo sehemu mbalimbali.
 
Kuwapa kazi ya ugaidi ndio rahisi, si unawaambia tuu mm bwana nawalipa cash kiasi fulani, mkamuuwe Sabaya, au nalipa cash kias fulani ukakate miti iliyoko pembezoni mwa barabara eneo fulani, simple like that, ila ukabidhi mtu maisha yako, siri zako je km ni imekuja kukupeleleza si utakuwa umekatwa km kuku wa kisasa. Wewe vip aise
 
Tundu Lissu alirejea tarehe 27 July 2020. Hao Makomandoo wamekamatwa mwezi wa nane.
Ni sahihi walikuwepo kumpokea Tindu Lissu AirPort tarehe 27 July.
Sasa mpaka tarehe 24july walikuwa hawajafika kwa Mbowe na kumbuka walikamatwa kabla hata hawajaanza kazi. Wewe vip boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…