Kumbe Khalfan Bwire na wenzake ndio walikuwa Walinzi wa Tundu Lissu wakati anaingia Tanzania Julai 28, 2020?

Mbona unaangaika sana..binadamu ni binadamu na moyo wa mtu ni kichaka.mtu akiamua kukufanyia uhuni ata kama umelala naye kitanda kimoja miaka 100 siku akiamua kubadilika anabadilika tu haijalishi umeishije naye au umemfundisha miaka mingapi.Mambo mengine yaache jinsi yalivyo maana maisha hayana kanuni.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Acha kufananisha Amerika na vitu vya kishenzi.
 
Watalipia tu ubaya wa baba Yao. It is just the matter of time
 
Jiulize imekuwaje mamlaka zinatumia njia ngumu yenye usumbufu mwingi sana β€œkumpata” Mbowe?
 
Hao makomando waliopigwa makofi na polisi, na kuning'inizwa kama popo? Ndio maana jeshi liliwatema
 
Tumuombe mama amtoe
 
Ni sahihi Lakini walienda Moshi kabla ya Lissu kurejea TZ.

Na inavyoelekea kulingana na wakili wa Mbowe, walienda na Mbowe Dar kumpokea Lissu tarehe 27 July.
Ila tarehe 24july walikuwa morogoro bado hata hawajamjua mbowe, yaan mnafanya watu kilaza kabisa, kwa hiyo walitoka kwa urio moja kwa moja wakaenda kinda lissu! Kwa hiyo tarehe 5 august walikuwa wanakula starehe Rau na Lissu alikuwa Rau pia wakiwa wanamlinda pia! Kwel nyumbu ni nyumbu tuu
 
Kikundi kidogo cha mamlaka, isingekubalika eti wote aazimie ujinga ujinga wa kushambulia raia kisa mnapingana mitazamo.....na ndio maana hata action zao zinafanyika KIJINGA mbwa kabisa hao
 
Urio hajui maana ya vetting na wewe unafuata mkumbo,vetting haifanyiki hivyo blo
 
Unaongea kama ulikwepo au we ni mke wa mbowe
 
Unaongea kama ulikwepo au we ni mke wa mbowe
Mimi siongei tuu kwa sababu ninaashume mambo km wewe, unaangalia na facts, je hicho ulichosema ni sawa kulingana na facts zilizopo? Sasa wewe unaniambia tarehe 27july alienda kumpokea lissu, wakati ukiangalia tarehe 24July urio alisema alikuwa nao anawafanyia vetting, kwa akili yako walitoka kwa urio moja kwa moja wakaenda dar kumlinda Lissue, kwa akili yako tarehe 5 august walikuwa Kazini Rau wakimlinda Lissue huku walipenda starehe, kwa akili yako mtu hata ujui historia yake vizuri, hujui misimamo yake kisiasa, hujui km ni shushu au laa! Ila siku hiyo hiyo unaletewa na unampa kazi ya kukulinda na kuhifadhi siri zako, muwe mnafikiria hata kidogo jaman siyo kwenda tuu kwa mihemko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…