Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Nguo ya mwisho ni ipi ?😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguo ya mwisho ni ipi ?😂😂😂😂
Mbona unaangaika sana..binadamu ni binadamu na moyo wa mtu ni kichaka.mtu akiamua kukufanyia uhuni ata kama umelala naye kitanda kimoja miaka 100 siku akiamua kubadilika anabadilika tu haijalishi umeishije naye au umemfundisha miaka mingapi.Mambo mengine yaache jinsi yalivyo maana maisha hayana kanuni.Yaani wewe ni kizibo Kweli hata km ni house girl, kwamba unakuja Siku hiyo na nakupa kazi ya kunilinda, usifanye lila mtu Taira km wewe bwana, hata Mbowe mwenyewe anakushangaa unatetea na mtu mwenye uelewa mdogo km wewe, yaani unajua maana ya Ulinzi wewe, kwanza yule anayekulinda lazima kuhakikisha trust person, sio shushu, Ni Msiri, unafaham profile yake kwa undani, yuko katika maeneo gani, aungalii tuu nimeletewa komandoo wa Jeshi,
Alafu wakishauwawa wewe ndo utaishi milele?.au ni upuuzi tu unakusumbua.Hawa walitakiwa kuuwawa kimyakimya
Watajuta kuifuta hii kesi ..saa saba mchana Kariakoo watu watatembea uchi.....Sasa subiri wakati mashahidi wa utetezi watakapoanza kuhojiwa, hii nchi inaenda kuvuliwa nguo ya mwisho.
Acha kufananisha Amerika na vitu vya kishenzi.Uongo mwingine bwana, hawa jamaa walikamatwa hata kabla kampeni hazijaanza, sasa inakuwa aje unasema kuwa ndio walikuwa wanamlinda lissu, Alafu Uwe ukawa unachukua Ex soldier ukawa unawatumia hata km ni Amerika watakuhis vibaya sana kwanza especially Wale waliofukuzwa jeshini maana itaonekana unatengeneza kikundi cha uasi. Nchi nyingine hata kesi hamna ni inapigwa risas pamoja na ex soldier wako woote
Watalipia tu ubaya wa baba Yao. It is just the matter of timeIngekuwa mtu ukifanya matendo ya hovyo kama jiwe na ukifa adhabu hata wanao na mkeo watapewa sehemu ya adhabu ingesaidia watu kuogopa kutenda matendo ya hovyo maana watatithisha taabu uzao wao.
Lakini sivyo, ona kule Chato wanakula Bata tu kwa kodi zetu!
Jiulize imekuwaje mamlaka zinatumia njia ngumu yenye usumbufu mwingi sana “kumpata” Mbowe?Tufikirie tu kidogo nje ya siasa, hivi mamlaka zikikutaka ndani ya ardhi ya Tanzania kweli zinaweza kukushindwa hata kama unalindwa na Commandoz?
Kumbuka hizo mamlaka ndio zinamiliki maelfu ya makomando na silaha zote..
Si kweli eti TL aliamua kukimbia baada ya hao makomando kuacha kumlinda.
Wasije tu na vichaa kama Mdude... nguo zinaweza kuvuliwa na kutupiliwa mbali!Sasa subiri wakati mashahidi wa utetezi watakapoanza kuhojiwa, hii nchi inaenda kuvuliwa nguo ya mwisho.
Tumuombe mama amtoeNdio maana namchukia sana Magufuli, huyu jamaa ntamuombea dua mbaya maisha yangu yote, alikuwa na roho mbaya sana uyu mshenzi.
Mitoto inazaliwa kisha inanukishwa ugolo halafu gafla tu linaukwaa uraisi, wananchi wake hawawez kuwa salama katu.
JPM moto wa milele umuangazie na kumchoma rest of his life uko alipo
Ila tarehe 24july walikuwa morogoro bado hata hawajamjua mbowe, yaan mnafanya watu kilaza kabisa, kwa hiyo walitoka kwa urio moja kwa moja wakaenda kinda lissu! Kwa hiyo tarehe 5 august walikuwa wanakula starehe Rau na Lissu alikuwa Rau pia wakiwa wanamlinda pia! Kwel nyumbu ni nyumbu tuuNi sahihi Lakini walienda Moshi kabla ya Lissu kurejea TZ.
Na inavyoelekea kulingana na wakili wa Mbowe, walienda na Mbowe Dar kumpokea Lissu tarehe 27 July.
Unaishi wapi ndugu yangu,refer,kombe,lissu,etcUnaamini hizo mamlaka zinaweza kujiamulia tu kumuua yeyote wakati wowote?
Acha ushamba.
Kikundi kidogo cha mamlaka, isingekubalika eti wote aazimie ujinga ujinga wa kushambulia raia kisa mnapingana mitazamo.....na ndio maana hata action zao zinafanyika KIJINGA mbwa kabisa haoTufikirie tu kidogo nje ya siasa, hivi mamlaka zikikutaka ndani ya ardhi ya Tanzania kweli zinaweza kukushindwa hata kama unalindwa na Commandoz?
Kumbuka hizo mamlaka ndio zinamiliki maelfu ya makomando na silaha zote..
Si kweli eti TL aliamua kukimbia baada ya hao makomando kuacha kumlinda.
Urio hajui maana ya vetting na wewe unafuata mkumbo,vetting haifanyiki hivyo bloSawa sasa wewe mbona unasema mambo ya uongo, unajua kabisa tarehe 20july Mbowe alimuuliza umefanikiwa wangapi akajibu wawil, akamwambia hao wawil kwa kuanzia sio mbaya, sasa hizo ni msg na, july 20 alitumiwa nauli 500,000/= , 24july walikutana moro akawafanyia vetting alafu ndio wakaenda kwa Mbowe,
Unaongea kama ulikwepo au we ni mke wa mboweIla tarehe 24july walikuwa morogoro bado hata hawajamjua mbowe, yaan mnafanya watu kilaza kabisa, kwa hiyo walitoka kwa urio moja kwa moja wakaenda kinda lissu! Kwa hiyo tarehe 5 august walikuwa wanakula starehe Rau na Lissu alikuwa Rau pia wakiwa wanamlinda pia! Kwel nyumbu ni nyumbu tuu
Mimi ninasubiria maelezo ya mbowe, yataweka mambo mengi hadharaniSasa subiri wakati mashahidi wa utetezi watakapoanza kuhojiwa, hii nchi inaenda kuvuliwa nguo ya mwisho.
Mimi siongei tuu kwa sababu ninaashume mambo km wewe, unaangalia na facts, je hicho ulichosema ni sawa kulingana na facts zilizopo? Sasa wewe unaniambia tarehe 27july alienda kumpokea lissu, wakati ukiangalia tarehe 24July urio alisema alikuwa nao anawafanyia vetting, kwa akili yako walitoka kwa urio moja kwa moja wakaenda dar kumlinda Lissue, kwa akili yako tarehe 5 august walikuwa Kazini Rau wakimlinda Lissue huku walipenda starehe, kwa akili yako mtu hata ujui historia yake vizuri, hujui misimamo yake kisiasa, hujui km ni shushu au laa! Ila siku hiyo hiyo unaletewa na unampa kazi ya kukulinda na kuhifadhi siri zako, muwe mnafikiria hata kidogo jaman siyo kwenda tuu kwa mihemkoUnaongea kama ulikwepo au we ni mke wa mbowe
Tangu ulipoanza kusema nchi inavuliwa nguo sidhani kama kuna mtu asiyeujua uchi wake na jinsia yake!Sasa subiri wakati mashahidi wa utetezi watakapoanza kuhojiwa, hii nchi inaenda kuvuliwa nguo ya mwisho.