🤣🤣🤣🤭Wao walihukimiwa papo Kwa papo me ntahukumiwa mwisho, mungu kanipa mda wa kutubu acha niutumie ipasavyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wale wanao kula tunda kwa condom nao naona hawaelewi kabisaWapiga bao la mkono wanasoma uzi huu huku wakiwa wametoa macho lakini bado hawaelewi kilicho andikwa
Kabisaaa...hapo ni kumwagia ndani tuuu🤣🤣🤣nimeisubiri comment Yako balaa
So upo sahihi Kabisa🤣
Kabisa kikubwa wanawake msitoe mimba...nyie fyatueni tuuSawasawa,kikubwa msitoe mimba
Kumbe ndo maana wanaume hawafi, WANAUWAWANi kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi, "Yuda akamwoza mke Eric, mzaliwa wake wa kwanza, na jina lake huyo mke ni Tamari. Naye Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mbaya machoni pa Bwana; na Bwana akamwua. Yuda akamwambia Onani, mzaliwa wake wa pili, uingie kwa mke wa nduguyo ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao."
"Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao. Neno hili alilolifanya likawa baya machoni pa BBwana, basi akamwua yeye naye."
😳Kumwagia nje hizo mbegu kumbe ni chukizo mbele ya Mwenyezi Mungu wajameni?🤦
Uache kusukutulia mdomoni🤣🤣🤣🤣nimeisubiri comment Yako bala
Ameeeeeeeeen ,ubarikiwe🤣am a newborn
Endelea kutupa mistari hasa inayohusu mambo yetu yalee...tuendelee kujifunza[emoji1787]am a newborn
Wapiga nyeto wanakuchora tuWapiga bao la mkono wanasoma uzi huu huku wakiwa wametoa macho lakini bado hawaelewi kilicho andikwa