Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bado nyeto nazopiga kila sikuKama uliamka salama ulisamehewa
Acha bhasi mzee gani anazaliwa upya😁🤣🤣Am a newborn 🫂
😳Wee,Sema kweliTabia zenu za kutuambia "mwagia nje" hatupendi. Kwanza hamjui namna tunapata taabu kuchomoa mborlo zetu kunako Quummma zenu wakati wa kumwaga maana zinakuwa zimevimbiamo tyr kwa kutemea shahawar, matokeo yake mnatusisitia tuchomoe tumwage nje!!
Bora hata tuwamwagiemo mdomoni joto linahamasisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu ni kumwaga nje mbegu kwa nia ya kumnyima asizae. Je utumiaji wa mipira ya kuzuia mimba ina tofauti gani na kumwaga nje? TUFIKIRIE ZAIDI TUNAPOTUMIA MIPIRA HIYO KWANI YAWEZA KUWA CHUKIZO KWA MUNGU. Je tunapoitumia KUOGOPA MAGONJWA NI HALALI? KWA MFANO MWENZAKO YUKO NA UKIMWI MKAELEKEZWA NA DAKTARI KUTUMIA KINGA? Nafikiri walio ktk ndoa na hakuna hofu ya maambukizi kutumia kinga ni KOSA
Dhambi hapo si kumwagia nje, Bali kumnyima mwanamke mjane haki ya kupata mtoto!Ni kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi:
6. Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari.
7. Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua.
8. Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu yako marehemu, kwani ndivyo inavyokupasa kufanya, upate kumzalia nduguyo watoto.”
9. Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.
10. Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.
[emoji15]Kumwagia nje hizo mbegu kumbe ni chukizo mbele ya Mwenyezi Mungu wajameni?[emoji1751]
Kumwaga chini ni kosa kama kuuaNi kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi:
6. Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari.
7. Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua.
8. Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu yako marehemu, kwani ndivyo inavyokupasa kufanya, upate kumzalia nduguyo watoto.”
9. Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.
10. Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.
😳Kumwagia nje hizo mbegu kumbe ni chukizo mbele ya Mwenyezi Mungu wajameni?🤦
Unataka tuzae ovyo ovyo😂😂Ni kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi:
6. Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari.
7. Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua.
8. Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu yako marehemu, kwani ndivyo inavyokupasa kufanya, upate kumzalia nduguyo watoto.”
9. Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.
10. Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.
😳Kumwagia nje hizo mbegu kumbe ni chukizo mbele ya Mwenyezi Mungu wajameni?🤦
Sawa,we Endelea tuDhambi hapo si kumwagia nje, Bali kumnyima mwanamke mjane haki ya kupata mtoto!
Kulikuwa na dhambi ya ukaidi kwa agizo alilopewa
Mwanamke alikuwa na mahitaji ya kupata mtoto kwani hakupata mtoto kwa mume wake!
Ikumbukwe kuwa jukumu maalumu alilopewa ni kumpa mwanamke mtoto, na sio kustarehe!
Kitendo Cha kumwaga nje, ilikuwa Ni kumdhalilisha mwanamke mjane aliyejitolea Papuchi yake apokee mimba! Na hivyo kuzidi kumhudhunisha kwa ujane wake.
Mungu hutoa adhabu ya kuua papo kwa papo kwa makosa ambayo yana ukaidi wa moja kwa moja dhidi ya agizo lake! Hivyo tunaamini agizo la kumwingilia mjane ili apate mtoto, ni msukumo uliotoka kwa Mungu!
Kwa Nini Mungu hatuuwi sisi tunaoendelea kumwaga nje, ili kuzuia mimba zisizo hitajika?
Sasa kama ilikatazwa wale wazee waliwezaje kukadiria asee🤔🤔🤔🤣🤣Na tutazaa balaa
Vipi kuhusu matumizi ya condom?Ni kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi:
6. Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari.
7. Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua.
8. Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu yako marehemu, kwani ndivyo inavyokupasa kufanya, upate kumzalia nduguyo watoto.”
9. Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.
10. Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.
😳Kumwagia nje hizo mbegu kumbe ni chukizo mbele ya Mwenyezi Mungu wajameni?🤦
Mmmhhh kwa sasa sidhani kama linawezekana hili🤔Mke akijifungua walikuwa wanaondoka,kurudi mtoto anachotelezea maji toka mtoni