Kumbe kumwaga chini mbegu ya uzazi, ni kosa kubwa sawa na kuua!

Zamani Mungu aliruhusu watu wazaliane sana ili kuijaza uso wa dunia ndio maana alikuwa anatoa adhabu kama hizo, n tofauti na sasa wanatozo tupo wengi sasa.
 
Tabia zenu za kutuambia "mwagia nje" hatupendi. Kwanza hamjui namna tunapata taabu kuchomoa mborlo zetu kunako Quummma zenu wakati wa kumwaga maana zinakuwa zimevimbiamo tyr kwa kutemea shahawar, matokeo yake mnatusisitia tuchomoe tumwage nje!!

Bora hata tuwamwagiemo mdomoni joto linahamasisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😳Wee,Sema kweli
 
Hapo Kuna sababu ya Onan kuwawa

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Sababu ni kumwaga nje mbegu kwa nia ya kumnyima asizae. Je utumiaji wa mipira ya kuzuia mimba ina tofauti gani na kumwaga nje? TUFIKIRIE ZAIDI TUNAPOTUMIA MIPIRA HIYO KWANI YAWEZA KUWA CHUKIZO KWA MUNGU. Je tunapoitumia KUOGOPA MAGONJWA NI HALALI? KWA MFANO MWENZAKO YUKO NA UKIMWI MKAELEKEZWA NA DAKTARI KUTUMIA KINGA? Nafikiri walio ktk ndoa na hakuna hofu ya maambukizi kutumia kinga ni KOSA
 
Ni kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi:

6. Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari.

7. Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua.

8. Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu yako marehemu, kwani ndivyo inavyokupasa kufanya, upate kumzalia nduguyo watoto.”

9. Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.

10. Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.

[emoji15]Kumwagia nje hizo mbegu kumbe ni chukizo mbele ya Mwenyezi Mungu wajameni?[emoji1751]
Dhambi hapo si kumwagia nje, Bali kumnyima mwanamke mjane haki ya kupata mtoto!
Kulikuwa na dhambi ya ukaidi kwa agizo alilopewa
Mwanamke alikuwa na mahitaji ya kupata mtoto kwani hakupata mtoto kwa mume wake!
Ikumbukwe kuwa jukumu maalumu alilopewa ni kumpa mwanamke mtoto, na sio kustarehe!
Kitendo Cha kumwaga nje, ilikuwa Ni kumdhalilisha mwanamke mjane aliyejitolea Papuchi yake apokee mimba! Na hivyo kuzidi kumhudhunisha kwa ujane wake.

Mungu hutoa adhabu ya kuua papo kwa papo kwa makosa ambayo yana ukaidi wa moja kwa moja dhidi ya agizo lake! Hivyo tunaamini agizo la kumwingilia mjane ili apate mtoto, ni msukumo uliotoka kwa Mungu!

Kwa Nini Mungu hatuuwi sisi tunaoendelea kumwaga nje, ili kuzuia mimba zisizo hitajika?
 
Ni kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi:

6. Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari.

7. Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua.

8. Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu yako marehemu, kwani ndivyo inavyokupasa kufanya, upate kumzalia nduguyo watoto.”

9. Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.

10. Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.

😳Kumwagia nje hizo mbegu kumbe ni chukizo mbele ya Mwenyezi Mungu wajameni?🤦
Kumwaga chini ni kosa kama kuua
Mwanaume ana damu mbili, damu nyeupe ya uzazi na damu nyekundu ya uhai wake
Damu haichezewi
 
Ni kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi:

6. Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari.

7. Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua.

8. Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu yako marehemu, kwani ndivyo inavyokupasa kufanya, upate kumzalia nduguyo watoto.”

9. Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.

10. Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.

😳Kumwagia nje hizo mbegu kumbe ni chukizo mbele ya Mwenyezi Mungu wajameni?🤦
Unataka tuzae ovyo ovyo😂😂
 
Dhambi hapo si kumwagia nje, Bali kumnyima mwanamke mjane haki ya kupata mtoto!
Kulikuwa na dhambi ya ukaidi kwa agizo alilopewa
Mwanamke alikuwa na mahitaji ya kupata mtoto kwani hakupata mtoto kwa mume wake!
Ikumbukwe kuwa jukumu maalumu alilopewa ni kumpa mwanamke mtoto, na sio kustarehe!
Kitendo Cha kumwaga nje, ilikuwa Ni kumdhalilisha mwanamke mjane aliyejitolea Papuchi yake apokee mimba! Na hivyo kuzidi kumhudhunisha kwa ujane wake.

Mungu hutoa adhabu ya kuua papo kwa papo kwa makosa ambayo yana ukaidi wa moja kwa moja dhidi ya agizo lake! Hivyo tunaamini agizo la kumwingilia mjane ili apate mtoto, ni msukumo uliotoka kwa Mungu!

Kwa Nini Mungu hatuuwi sisi tunaoendelea kumwaga nje, ili kuzuia mimba zisizo hitajika?
Sawa,we Endelea tu
 
Ni kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi:

6. Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari.

7. Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua.

8. Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu yako marehemu, kwani ndivyo inavyokupasa kufanya, upate kumzalia nduguyo watoto.”

9. Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.

10. Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.

😳Kumwagia nje hizo mbegu kumbe ni chukizo mbele ya Mwenyezi Mungu wajameni?🤦
Vipi kuhusu matumizi ya condom?
 
Back
Top Bottom